Waandishi wa Kitanzania kichekesho

Waandishi wa Kitanzania kichekesho

Mkuu ni kweli,ilo jambo nalitarajia sana,ila hata wakinitukana haitasaidia,maana matusi hayatakua na ukweli kwangu,na wao ujumbe utakua umefika!unajua always matusi na kejeli ndio uwa silaha ya mtu mjinga na asiyekubali kukosolewa na kubadilika!so usiogope sana matusi mkuu,maana hayana athari kwa mtu anaejitambua[/QUOTE
]
Sidhani kuna atakaye thubutu kukutusi, kila kitu kipo bayana na wenyewe walishuhudia ulichofanya ni ku highlite tu.
mtu wa jamba leo kauliza swali ovyo na mkulu alivyokuwa anajipiga piga nalo kwenye vikuta mpaka jasho la uso lilitutoka kwa aibu!
tuliomba amalize haraka ila kweli nimegundua watanzania tu wazalendo ,maana jana wote hatukumuona tena kama rais wa magamba,tulijihisi kuabishwa na rais wetu bila kujali itikadi zetu.
 
Headline haijawatendea haki waaandishi wa Tanzania. Mimi nilikuwapo kwenye mkutano wa marais Obama na Kikwete. Watanzania tulipewa nafasi moja tu. Sina tatizo na muuliza swali, isipokuwa hoja hapa ni namna wauliza maswali wanavyopatikana. Mimi nilikuwa mpiga picha, wakati mwenzangu Balile tulipanga amwulize Obama maswali ya "kufa mtu". Moja ya maswali hayo lililenga kujua kama Wamarekani wao wamekomaa kwa yule "msafirisha binadamu", hata kutaka alipe dola milioni moja; inakuwaje Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam umekataa kuwalipa Watanzania zaidi ya 250 waliokuwa watumishi wa ubalozi huo? Kwanini wamkomalie huyu mmoja, lakini hawa zaidi ya 250 waendelee kutaabika kwa kunyimwa mishahara kwa miaka mingi sasa?

Nadhani Jukwaa la Wahariri na wanazuoni ni sharti wakae na kuona namna ya kupata maswali yenye manufaa kwa Taifa letu. Mfano mzuri ni pale tulipoenda Misri mwaka 2003. Tulijipanga vizuri sana, kiasi kwamba Wamisri waliona aibu kwa hoja zao dhaifu za kutaka tusitumie maji yetu. Moja ya maswali kwa Waziri wa Maji wa Misri, Dk. Abuzeidi lilikuwa, "Tangu lini Tanzania ilikuwa koloni la Uingereza kiasi cha kutaka tuheshimu mikataba waliyoingia kwa niaba ya Tanganyika ambayo ilikuwa chini ya udhamini wa Umoja wa Mataifa wa wakati huo? Waziri akakosa majibu, ikawa aibu kwao.

Nadhani tatizo ni namna ya kuchaguana kuuliza maswali na aina ya maswali tunayokubaliana kumwuliza mhusika, hasa linapokuja suala la maslahi ya Tanzania na Watanzania; na Afrika.
 
Mchami

U have my salute for today.

Hili jamaa nafikri hata kwa kukariri shuleni lilikuwa hatari, yaani linachukua hadi nukta za kwenye kigugumizi cha Mr. Dhaifu?!!

Hapo Jambo Leo naye mitaani kwao eti alijichukukia ujiko kwamba aliuliza maswali hadi kwenye ugeni wa Obama. Hii inanikumbusha Mbunge wangu (MH. LUHAGA MPINA) alivyoteseka siku anaomba kura za Bunge la Afrika alipoulizwa maswali kuhusu Libya. Lakini Wasukuma wangu huku jimboni kwake kwa vile asiliia kubwa hawajui lugha wakawa wanamsifia na yeye mwenye akawa anatamba mitaani!

AIBU YA JAMBO LEO, AIBU YA RWEYENYAMU!!
 
Jibu la Kikwete:

I... I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

MCC has been great assistance from the United States government to the people of Tanzania.

There are three.... three... three sectors here. There is the road sector. And the good thing about the MCC is that we decide on the..... on the areas or sectors that we need assistance. But even we decide on where. For example in the case of roads. There are roads that we spo.... we talked to many donors, who were not ready to support us. But when... when you said there is going to be support on roads I said "Let's try these roads, let's see what the American are going to say." The American said fine, if you think you need these roads fine, we will give you the money.

Those fellow Tanzanians know Namtumbo-Songea-Mbinga, Tunduma-Sumbawanga, Tanga-Horohoro, the roads in Pemba. But we chose those roads because, these roads are actually in our bread basket area. This is where we get the corn: Ruvuma, Rukwa and Mbeya.

We decide.. we chose the US to assist us to increase water supply in Dar es Salaam. It is our decision. The project is now being implemented.

With electricity we said, one of our biggest problems is access to electricity for people in the rural areas. The US said fine. We have m m .. in grid 10 regions of Tanzania. Coverage of electricity has increased from 10% to 21%, is phenomenal increase.

So I want to underscore the fact that I am satisfied with the support from MCC.

Is US doing enough? The US has done a lot, but if I say they have done enough, then the President will not listen to my new requests... hahahahahaaaaaaaaaaaa

But so far so good.

Deaths from malaria have declined by over 50%, infant mortality rates have declined, HIV infections have declined. Through PMTCT (Prevention of Mother to Child Transmission) more children born by HIV infected mothers are born free of the disease. More people now...

The US has supported us now with over 2 million books. And today I asked the president we want another 2.4 million and he said we will ... to .... and I see from their face that they are in agreement with the president. So that when it comes to science and mathematics books, we will have every Tanzanian child .. have a book of his or her own, instead of the ratios that we are talking today 5 to 1 now reduced to 3 to 1. So the list is endless.

We have a lot of support, we are very appreciative, we are very thankful, it has really helped changing the lives of our people.

But if they can do more.... please. Hahahahaaa!
Video clip ya maneno haya ni hii hapa:
 
Last edited by a moderator:
Tukiambiwa tudumishe mila,utasikia watu wanaanza kubwabwaja! Lugha isiyo yako haina radha unapotongoza au unapotongozwa! Ni bora tukajifunza kuwa kama bubu msema hovyo anayetaka kuongea na kusikika kwa kutumia lugha na maneno aliyozaliwa nayo! Namkumbuka sana Hugo Chavez!
 
mh!tatizo la mheshimiwa mkuu wa nchi halikuwa kiingereza bali ni hali ya upungufu wa kujiamini,so watanzania kuna haja ya kujenga hali ya kujiamini hasa tunapokutana na watu au viongozi mataifa ya nje.
 
Kwa aibu ya jana walioileta waandishi wetu wa habari juu ya maswali ya kitoto kabisa waliyomuuliza Rais wa Marekani Barrack Obama,ni wazi kua sasa imefika wakati wanataaluma hawa wajitafakari mara mbili,na waache kutumika ili hali wakijiweka uchi wa mnyama,kudharaulika na kupuuzwa kupita kiasi na jamii ya ndani ya nchi na hata jamii ya kimataifa!press conference ya jana imeonekana dunia nzima,alafu muandishi wa habari unapewa nafasi ambayo inawezekana ni moja katika maisha ya taaluma yako unaisaliti taaluma yako na kwenda kuuliza swali la kijinga kabisa!nilifurahishwa sana na waandishi wa habari wa nje jinsi walivyo uliza maswali critical,hata yule muandishi wa habari wa Congo kwa kweli aliuliza swali la msingi kabisa!sio clap questions kama waliyouliza hawa waandishi wetu walio andaliwa,kwa jana wamejidhihirisha wazi kuwa Watanzania wana haki ya kuwapuuza na kuwadharau hawa waandishi wa habari vilaza (ingawa si wote)!Kwa upande wa aibu kubwa tuliyoipata kutokana na uwezo mdogo na lugha mbovu toka kwa mjibu maswali wetu mpaka kumuacha Obama akiwa anacheka,ilo lilishajulikana mapema!kikubwa ni kua Watanzania tujijengee tamaduni ya kusoma vitabu,kwani usomaji wa vitabu utujengea ukuaji wa uelewa wetu na hata uwezo wa kuongea lugha nyingine pia!!yafuatayo ni moja ya maswali toka kwa muandishi wa Jambo leo,na moja ya majibu toka kwa Rais Kikwete: My name is Peter Ambilikile from Jambo Leo Newspaper.

My question is from both of you starting with the President Obama.

President Obama, are you satisfied with the aid that your country provide to Tanzania, especially the MCC.

Second question goes to President Kikwete. Do you believe that USA is doing enough to support our country Tanzania. That’s all Thanks. Na moja ya majibu ya Rais Kikwete ni haya hapa: I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

MCC has been great assistance from the United States government to the people of Tanzania.

There are three.... three... three sectors here. There is the road sector. And the good thing about the MCC is that we decide on the..... on the areas or sectors that we need assistance. But even we decide on where. For example in the case of roads. There are roads that we spo.... we talked to many donors, who were not ready to support us. But when... when you said there is going to be support on roads I said "Let's try these roads, let's see what the American are going to say." The American said fine, if you think you need these roads fine, we will give you the money.

Those fellow Tanzanians know Namtumbo-Songea-Mbinga, Tunduma-Sumbawanga, Tanga-Horohoro, the roads in Pemba. But we chose those roads because, these roads are actually in our bread basket area. This is where we get the corn: Ruvuma, Rukwa and Mbeya.

We decide.. we chose the US to assist us to increase water supply in Dar es Salaam. It is our decision. The project is now being implemented.

With electricity we said, one of our biggest problems is access to electricity for people in the rural areas. The US said fine. We have m m .. in grid 10 regions of Tanzania. Coverage of electricity has increased from 10% to 21%, is phenomenal increase.

So I want to underscore the fact that I am satisfied with the support from MCC.

Is US doing enough? The US has done a lot, but if I say they have done enough, then the President will not listen to my new requests... hahahahahaaaaaaaaaaaa

But so far so good.

Deaths from malaria have declined by over 50%, infant mortality rates have declined, HIV infections have declined. Through PMTCT (Prevention of Mother to Child Transmission) more children born by HIV infected mothers are born free of the disease. More people now...

The US has supported us now with over 2 million books. And today I asked the president we want another 2.4 million and he said we will ... to .... and I see from their face that they are in agreement with the president. So that when it comes to science and mathematics books, we will have every Tanzanian child .. have a book of his or her own, instead of the ratios that we are talking today 5 to 1 now reduced to 3 to 1. So the list is endless.

We have a lot of support, we are very appreciative, we are very thankful, it has really helped changing the lives of our people.

But if they can do more.... please. Hahahahaaa!

maswali na majibu ya wadhungu na Obama pls!
 
nilivyosikia tu swali linaulizwa na mwandishi wa JAMABO LEO nikajua tu MAJANGA.
 
wauliza maswali walichujwa mapema na kupangiwa maswali ya kuuliza! otherwise waandishi wa habari makini wangeuliza matukio ya mabomu Arusha na mauaji ya waandishi wa habari! hapo JK angetafuta chaka la kuficha uso wake!
 
Waliuliza maswali kama chekechea. Kuficha aibu sio vibaya kama wangemkodisha jenerali ulimwengu. Si tumezoea kila kitu fix?
 
Waliuliza maswali kama chekechea. Kuficha aibu sio vibaya kama wangemkodisha jenerali ulimwengu. Si tumezoea kila kitu fix?

Mkuu unachosema ni kweli kabisa,waandishi wa habari wazuri,wenye fikra pana mbona tunao!ni ubabaishaji na kujuana ndio wakaamua kuweka watu wao,ili mkuu asipigwe maswali yenye tija kwa taifa ila,ila angalau lile swali la yule mama wa b.b.c (nimemsahau jina) liliwashikisha adabu na kuwafundisha kua,dawa ya uovu sio kuandaa watu wafunike,bali ni kukubali kukosolewa na kujirekebisha!yote kwa yote aibu ilikua ni ya Watanzania wote japo ilisababishwa kwa makusudi na watu wachache
 
Nampongeza Rais KIkwete. Naona Kiingereza chake kizuri. mfano wa kuigwa na Watanzania wengi hasa kwenye hadhara ya Kimataifa kama hii. Ila wananchi wake hatutaki kujifunza English ya Kusoma na kuandika. Mbona hawakuruhusiwa kuuliza kwa Kiswahili na mkalimali awepo? My question is from both of you starting with the President Obama. Ah kazi kweli kweli!
 
Na hapo alikua na maandalizi ya zaidi ya mwezi mmoja juu ya kuuliza swali ilo!
 
Back
Top Bottom