Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha*
Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na Ezekiel wa Manara TV Arusha
Taarifa za awali zinasema walikamatwa jioni hii Jijini Arusha na hadi sasa wapo kituo kikuu Cha Polisi Arusha.
Tunaendelea kufuatilia tukio ili kujua sababu za kukamatwa kwao
Nimeongea na baadhi viongozi kwenye Taasisi za kihabari Arusha wamethibitisha kushikiliwa kwao na kuweka wazi Kwa sasa wanahitaji msaada wa Mawakili.
Waandishi wenzetu wa Arusha mnaweza kutusaidia kufika hapo kituoni Kwa sasa.