Huko Duniani tu crypto haieleweki sembuse Tanzania ndio watu waelewe?
Mama amedanganywa, haya mambo bado machanga sana hata huko kwa watu wa Dunia ya kwanza.
Tushugulikie mambo ya msingi kwanza kama maji, upatikanaji wa huduma za mtandao na mambo kama hayo. Sehemu kubwa tu za vijijini mtandao wa kawaida wa tigo pesa, mpesa ni changamoto sembuse crypto? Tuwe serious basi kidogo.