Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,182
- 24,684
Umeropoka halafu umebwabwaja sanaaaa.
We nakufahamugi si kosa lako.
Na hakuna swali ulilojibu had sasa bali umejiongezea maswali.
Je raia hawamfurahii Jinping????
Je kwanzia 2005 kuja juu kuna massacre yeyote ilitokea kisa maandamano huko China????
Kama raia wanapata watakayo na wanatimiliziwa kila kitu yann waandamane????
Ni nn chanzo cha wananchi kutaka waandamane kuupinga uongozi wa hawamu husika????
Ya juu yamekushinda jaribu haya.
Hayo mambo ya 1990s ya China yashakuwa outdated tutizame contemporary issues.
Mi nabwabwaja wewe unafanya nini kama hubwabwaji pia?
Au umeshona mdomo!?
Last time I checked domo lako liko wazi kama watu wengine!
Kama ligi unaamua kuipeleka kwenye maneno ya shombo uwe wazi tuipeleke huko!
Mkuu
To begin with unaona Tianamen Square kwako wewe ni sahihi wanadamu 10,000 kuuawa?
Naona upo sympathetic na hilo!
Kama nipo sahihi,basi wewe sio mzima hata kidogo!
Kwa average protests na dissent demonstrations happen in Mainland China mara 87,000 per year!
Mzee umeona hiyo number?Ni freaking 87,000 demos per year on average!
Halafu unaweka pumbu humu unasema China hakuna demonstrations!
Are you on drugs?
Soma Protests and Dissent in China,data zote zipo!
Nachokuona unaamini makala za balozi wa China anazosukuma Daily News msome disinformation kuhusu China kua ni rosy rosy country!
CCP haina miaka zaidi ya 100 ijayo!
Na Trump anapokaza uzi uchumi unashuka na CCP will be more vurnerable!
Halafu unakaa hapa kama juha unadai uchumi wa China ni mzuri wananchi hawawezi andamana!
Kwa to begin off,huo ni uongo!
Wanaandamana sema wewe huoneshwi!
Pili uchumi hauwi mzuri miaka yote milele na milele.
Uchumi unapanda na kushuka!
Uchumi unaotumia kama ni kigezo namba moja ya furaha za wanadamu wa China ushauka now...Kutoka 15% per year to now 5% growth per year na sijui hali ikiwa mbaya zaidi utasema nini zaidi!
Wanadamu hawaishi kwa hela tu.
Wanaishi kwa uhuru na self actulization ambayo uchumi hautoi ni democrasia inatoa!
China is a ticking bomb siku litalipuka!
CCP part knows this!