Waandamanaji huko Hongkong waanza kuiomba USA na Trump kuwasaidia

Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Messages
2,105
Points
2,000
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined May 16, 2018
2,105 2,000
Weka hizo picha na sisi tuone,otherwise itakuwa maneno matupu tuu.Ma nchi ya ki communist ya ajabu sana,yaani watu wakiwa enlighted na kudai haki zao,wanalaumu western countries.Yale maandamano kule Moscow nao walisema ni USA,sijui hawa raia wa hizo nchi hawana matatizo au ni mazombi hawawezi kudai haki zao bila kununuliwa ma USA?..

Ushahidi uko wazi hapo kwa yoyote anayetaka ukweli.
 
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Messages
2,105
Points
2,000
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined May 16, 2018
2,105 2,000
Weka hizo picha na sisi tuone,otherwise itakuwa maneno matupu tuu.Ma nchi ya ki communist ya ajabu sana,yaani watu wakiwa enlighted na kudai haki zao,wanalaumu western countries.Yale maandamano kule Moscow nao walisema ni USA,sijui hawa raia wa hizo nchi hawana matatizo au ni mazombi hawawezi kudai haki zao bila kununuliwa ma USA?..
Nyengine hiyo! Ringleaders wana sepa.

Msikilize former HK Chief Prosecutor

Msikilize na hapa kwa kufahamu zaidi.

Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
662
Points
1,000
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
662 1,000
Ni kweli mkuu jamaa wale china ni kandamizi Sana.
Weka hizo picha na sisi tuone,otherwise itakuwa maneno matupu tuu.Ma nchi ya ki communist ya ajabu sana,yaani watu wakiwa enlighted na kudai haki zao,wanalaumu western countries.Yale maandamano kule Moscow nao walisema ni USA,sijui hawa raia wa hizo nchi hawana matatizo au ni mazombi hawawezi kudai haki zao bila kununuliwa ma USA?..
 
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
7,456
Points
2,000
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
7,456 2,000
Asante
China ina mfumo mbaya sana wa siasa!

Mfumo wa chama kimoja cha CCP!

Wananchi wote wanakandamizwa na hakuna demokrasia!

Members wote wa CCP ndio wenye madaraka wananchi 1.2Bil wanafuata hao CCP

Rushwa ni kubwa,wanaoruhusiwa kula rushwa ni CCP pekee!

Haki za binadamu hakuna!

Mfumo ya mahakama ni wa hovyo kabisa,mahakama hazitoi haki kwa wote kwa usawa!

Censorship kubwa kwenye mitandao nk!

CCP ndio inasimamia propaganda na vyombo vyote vya habari China!

Their narrative is correct,others hazitakiwi!

Halafu Jiwe na CCM wanasema tu-copy huo upumbavu!

Majinga kabisa haya maCCM!
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500

Mkuu kwann raia wa China wanamuombea Xin Jin ping aendelee kutawala km yeye ana mfumo kandamizi????
Kwann raia wa China waliruhusu na kupendekeza kwa matakwa yao Jinping atawale mpk kufa kwake???

Mbona km unaoyaelezea ni km propaganda tu za hao USA?????
China inafaidi huduma za kijamii kwa usawa hakuna nepotism kabbisa huo ukandamizaji unatokea wapi????

Wananchi wenyewe wamependekeza jin abakie madarakani inamaana pendekezo lao ni democracy tosha,democracy ipi imekandamizwa???

Sehem yenye rushwa huwa haiwez kuendeleak kiuchumi hususan kijamii mathalan itizame kenya ilivyo na poor social welfare ama India kwasababu ya rushwa,Mbona China inaripotiwa kupanda kiuchumi na kutabiriwa kumpita USA miaka 15 ijayo hyo rushwa inaliwajwe liwajwe kiasi isiathiri uchumi???

Ufafanuzi tafadhali.
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
Eti China imeendelea tu-copy mfumo wao!

MaCcM na Jiwe hawapo serious kabisa!

Eti demokrasia haina maendeleo,mna kichaa nyie??

Japan,South Korea,Singapore,Taiwan,etc wnaa demokrasia na wana maendeleo makubwa!

China ni mfumo wa hovyo sana wa Jiwe!

Asije akatuletea huo upumbavu kabisa!
Hzo takataka zote ulizozitaja zipo chini ya China in all development aspects.
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
Kihistoria HK ni sehemu ya China.

Opium war ndiyo iliyosababisha Mchina kupokonywa maeneo yake ikiwemo HK na Waingereza. Chanzo cha hii vita ni baada ya Mfalme wa China kupiga marufuku nchini mwake uuzaji wa drugs ambao ulikuwa unafanywa na Uingereza. Ambapo awali China ilimwambia Uingereza iache kupitisha drugs na kuuza nchini mwake kutokea India, Uingereza ikakataa kusikia hilo shauri. Baada ya China kupiga marufuku Uingereza ikaivamia China na kuipiga.

Kipindi HK ipo chini ya Uingereza hizi vurugu zinazotokea leo hazikuwepo. Kwa sababu wakazi wa Hong Kong walikuwa ni daraja la chini na hawakuwa na uthubutu hata wa kuandamana kwa sababu risasi zilikuwa zinawahusu. Mkono wa utawala wa Uingereza ulikuwa kwa Hong Kong ulikuwa ni mkono wa chuma. Hata miaka ya 90 hii karibuni kabla ya Hong Kong kurudishwa tena kwa China bado Hong Kong wakazi wake walikuwa daraja la chini.

Miaka ya 1980 kuelekea 90 utawala wa Uingereza ukaanza kubadili mtaala wa elimu wa HongKong, kwamba HongKong ilikuwa inanyonywa na kutawaliwa kimabavu na China na Uingereza ikabidi izuie hiyo hali. Mfumo wa elimu uliyowekwa na utawala wa Uingereza ni wakazi wa HK wawachukie China bara. Na kwa hili amefanikiwa. Kwani vijana wa HK wanachukia China ya bara, wanachukia kuitwa Wachina na wanachukia lugha yao ya mandarin. Lugha wanayoipenda ni Kingereza.

Mwaka 1997 Hong Kong ilikuwa inatoa 20% ya GPD ya China. Kwa sasa inatoa 3% tu. Biashara za kimataifa wakazi wengi wa China bara walikuwa wanaenda kufanyia Hong Kong. Kwa hili, Hong Kong ikawa inachukua 50% yote ya biashara za kimataifa kutoka China bara. Kwa sasa imeshuka mpaka 12%. Stock market ya Hong Kong ilikuwa ni X 2 ya China bara. Miaka 15 iliyopita bandari ya Hong Kong ilikuwa ndiyo bandari kubwa(kama siyo miongoni) Duniani.

Lakini hizo fursa kwa sasa zimepungua sana. Sababu kuu ni kwamba miaka ya nyuma China bara ilikuwa masikini na Hong Kong ni tajiri. Lakini China bara ya sasa ni tajiri. Zile biashara zilizokuwa zinafanywa kwa kupitia Hong Kong sasa hivi zinafanywa bara. Stock market ya Hongkong imezidiwa kwa sana na miji kama Shenzhen na Shanghai. Hata bandari China bara hategemei tena ya HongKong. Bali ana bandari zake miji kama ya Shenghai, Shenzhen, nchi kama Singapore napo kuna bandari. Kwa hiyo ile faida kubwa waliyokuwa wanaipata Hong Kong imepotea kwa kukua kwa China bara na Dunia kwa ujumla.

Mwaka 1997 Hong Kong inarudishwa tena China bara kutoka utawala wa Uingereza hapa ndipo kitimtim kilianza. Hong Kong ameshajazwa sumu kwenye mfumo wake wa elimu na historia yao imepotezwa kwamba wao ni Wachina. Hiki ndicho Muingereza alichokifanya. Vijana wa Hong Kong wanaandamana wanasema wanataka Democracy lakini ni Democracy gani inaruhusu raia kuandamana wamevaa mask. Wanaweka vigingi kwenye barabara kuu za Hong Kong, wanaleta vurugu Subway na kuzuia zisiondoke, wanawapiga na kuwavamia raia wenye msimamo wa tofauti na wao, wanawapiga polisi na kuchoma majengo ya polisi. Hiyo haitoshi! Wana occupy airport.

Halafu wanasema wananyimwa uhuru! Nchi gani Duniani itakayoweza kukuachia kufanya hivyo(?) Na kwa nini wakikamatwa na polisi wakivuliwa mask zao hawataki sura zao zionekane wanainama chini? Wanaondamana wote hawataki kwenda kazini. Swali ni nani anaeyafadhili hayo maandamano? Halafu ajabu Hong Kong kuanzia maji, umeme ni mambo mengine wanategemea na vinafadhiliwa na China bara. Yani Xi Ping akikata hivyo Hong Kong inakuwa kijiji.

Hata hiyo sheria aliyotaka ipitishwe ni baada ya Hong Kongers wapenzi kwenda kula bata Taiwan. Kijana Chan akamuua mpenzi wake huko hotelini na kurudi HongKong. Uchunguzi baada ya kufanywa Taiwan ukaonekane ameuliwa na mpenzi wake ambaye alisharudi Hong Kong. Taiwan wakamhitaji huyo mhalifu kwa sababu uhalifu umetokea kwenye ardhi yake. Bahati mbaya Taiwan na Hong Kong hazikuingia mkataba wa kuhusu raia kama raia akifanya uhalifu anaweza akasafirishwa na kuchukuliwa hatua kwenye ardhi aliyofanyia uhalifu. Kwa hiyo, ushahidi upo, lakini kesi haiwezi kuamuliwa na Chan yupo huru mpaka sasa huko Hong Kong.

Gavana wa Hong Kong baada ya hilo tukio ndiyo akaleta amendments to Hong Kong extradition bill ili kukava hiyo hali kama iliyotokea. Wanaandamana! Sasa sijui wanaandamana nini.

Na Hong Kongers wasichogundua wanatumiwa kama karata tu na west kwa Mchina. Mchina naye haumizi kichwa shughuli zake anazihamisha anazipeleka miji yake mengine. Kama Hong Kong yenyewe inategemea baadhi ya mafungu ya pesa kutoka China bara kujiendesha, miaka 5 mbeleni HonKong itakuwa hali mbaya sana kiuchumi.

Na China bara inapaa kiuchumi,ambayo watu wanakandia chama chao wanasema cha kikomyunisti lakini kimewaondoa zaidi ya raia wake million 200 kwenye umasikini. Na uhuru raia wake wanao.
Bro Mungu akubariki yan umeelezea ukweli mchungu.
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
6,488
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
6,488 2,000
Hzo takataka zote ulizozitaja zipo chini ya China in all development aspects.
Sijakuelewa mzee!

Eleza vizuri!

Una maanisha yote hayo sio kipaumbele kama development huko China?

Kama ni hivyo ni upumbavu maana hayo maendeleo sio endelevu in a long run!

Hawa wananchi watakuja kua middle income earners,ambao watataka haki zaidi,watataka uhuru zaidi,censorship na totalitarian itakua ndio mwisho wake!

Angalia mifano bora kama Singapore,Hong Kong,Japan,Germany,etc

Nchi zenye demokrasia kupita maelezo na zimeendelea kupita maelezo kwa muda mfupi tu na ni endelevu!
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
6,488
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
6,488 2,000
Mkuu kwann raia wa China wanamuombea Xin Jin ping aendelee kutawala km yeye ana mfumo kandamizi????
Kwann raia wa China waliruhusu na kupendekeza kwa matakwa yao Jinping atawale mpk kufa kwake???

Mbona km unaoyaelezea ni km propaganda tu za hao USA?????
China inafaidi huduma za kijamii kwa usawa hakuna nepotism kabbisa huo ukandamizaji unatokea wapi????

Wananchi wenyewe wamependekeza jin abakie madarakani inamaana pendekezo lao ni democracy tosha,democracy ipi imekandamizwa???

Sehem yenye rushwa huwa haiwez kuendeleak kiuchumi hususan kijamii mathalan itizame kenya ilivyo na poor social welfare ama India kwasababu ya rushwa,Mbona China inaripotiwa kupanda kiuchumi na kutabiriwa kumpita USA miaka 15 ijayo hyo rushwa inaliwajwe liwajwe kiasi isiathiri uchumi???

Ufafanuzi tafadhali.
Mkuu

Naona hata mfumo wa siasa wa China huujui kabisa!

China inaongozwa na chama kimoja tu kinaitwa CCP!

Wao ndio wanaamua nani awe rais na katiba ibadilishwe wanavyotaka wao!

Rais wa China hana power kama Katibu Mkuu wa Chama cha CCP!

Hakuna mwanachi wa China anamchagua Rais!

Rais anachaguliwa na NPC (National People’s Congress) ni kama Kamati Kuu ya CCM.

Wao ndio wanamchagua Rais na wana nguvu ya kumfukuza!

China hakuna Constitutional Democracy!

Wanachi wanachagua wanasiasa wa level ndogo ya uwakilishi kwenye majimbo yao,wakuu wa majimbo wote wanaletwa na central committee!

Mkuu China hakuna Rule of Law,inatawaliwa wakuu wa CCP wanachoona kinafaa!

China ni hovyo kabisa kwa kuua waandamaji Tianamen Square Massacre kwa amri ya Katibu Mkuu wa Chama cha CCP bwana Deng 1989!

Just like that,watu 10,000 waliuawa,7,000 majeruhi.Ni mauaji mabaya kabisa kutokea duniani kwa kosa tu la kuandamana kudai haki!

Unachosikia kuhusu China ni CCP narrative wants the world to know na sio real!

Serikali inayoficha data,serikali isiyofuata demokrasia ya uchaguzi,serikali inayoua waandamanaji kinyama,serikali inayozuia uhuru wa habari,etc ndio serikali tukai-copy?

Mna matatizo nyie na pia jifunze mfumo wa siasa wa China,acha kuongelea stori unazofikiria wewe kichwani mwako kua eti ndio siasa za China!
 
Umeropoka halafu umebwabwaja sanaaaa.
We nakufahamugi si kosa lako.

Na hakuna swali ulilojibu had sasa bali umejiongezea maswali.
Je raia hawamfurahii Jinping????
Je kwanzia 2005 kuja juu kuna massacre yeyote ilitokea kisa maandamano huko China????
Kama raia wanapata watakayo na wanatimiliziwa kila kitu yann waandamane????
Ni nn chanzo cha wananchi kutaka waandamane kuupinga uongozi wa hawamu husika????

Ya juu yamekushinda jaribu haya.
Hayo mambo ya 1990s ya China yashakuwa outdated tutizame contemporary issues.
 
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
813
Points
500
K

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
813 500
Sijakuelewa mzee!

Eleza vizuri!

Una maanisha yote hayo sio kipaumbele kama development huko China?

Kama ni hivyo ni upumbavu maana hayo maendeleo sio endelevu in a long run!

Hawa wananchi watakuja kua middle income earners,ambao watataka haki zaidi,watataka uhuru zaidi,censorship na totalitarian itakua ndio mwisho wake!

Angalia mifano bora kama Singapore,Hong Kong,Japan,Germany,etc

Nchi zenye demokrasia kupita maelezo na zimeendelea kupita maelezo kwa muda mfupi tu na ni endelevu!
China ni middle upper income tayari.
Halafu labda kuna kitu hukijui.
Siku zote wananchi hawawez kutaka kuandamana km serikali inawapatia mazuri.

China ina society development in all aspects
-education services ziko poa.
-water services ziko poa.
-Health services ndio usipime.
-Public transport hakuna nchi inayoizidi China ulimwenguni kwa vyenzo vya public transport.

Economic development China pia inakua mpk sasa kwa mwaka huu alifikisha km $14 Trillions akikimbizana na USA wa kwanza mwenye Nominal GDP ya $20+ trillions.
Na mpk kufikia miaka 15 ijayo wanauchumi wanaibashiri China kuwa wa kwanza sio wapili tena km sasa.
Ktk ukuaji wa kiuchumi wanakuwa kwa 6% inamaana sio maendeleo mabaya.
Hata per capita yao ni kubwa.
Kiufupi nchi ulizozitaja Japan,Singapore sijui uchafu gani haziifikii China ktk maendeleo .
Asa wananchi wana nn cha kuandamana???
Labda nikuulize kwa hayo maendeleo mazito ya kiuchumi na kijamii wananchi waandamane kupinga tawala ya awamu husika kwa lipi????

Tuangaliie hii current world situation kuna maandamano yeyote walifanya China mainland kuipinga tawala husika???
Ukileta mambo ya 1980s huko China ilikua low income country yan third world country km Tz tu.
Tuizungumzie rising Giant dragon ya sasa China wananchi waliwahi kuandamana na wana lipi la kuandamana????

Maana ww ukiletewa maendeleo Halafu unaipinga hyo serikali ya awamu husika tutakuona mchawi.
 
Kama kawaida!

Kila mpumbavu yeyote akiongelea China anakimbilia Economic Data!

Thats the easiest way to look into China!

CCP sifa kubwa kila mtu anaipa hata mimi na West wanaipa ni ku-lift Billion people from extreme poverty!

Hicho tu!

Cost yake to human life ni way too high!

China ina middle class,ila sio sophisticated kama middle class ya US ,Japan,Singapore,South Korea au Europe!

Mpaka wafikie level ya middle class sophistication ya hizo nchi ni miaka 100 ingine mzee!

Huwezi fikia hizo sophistication bila kua na democracy mzee!

Hawa wananchi wa China watakuja kudai democracy tu hapo ndio itatokea revolution!

Huwezi washika binadamu kama nzi na kuwafanyia totalitarianism wakati middle class sophistication itakapofika!

Siwezi zungumzia haki za binadamu,uhuru wa kimahakama,vifo vya wanadamu,etc na wewe unaniletea namba ya kiuchumi ni nonsensical!

Kuleta uchumi kama walivyofanya China ni easiest part!

Kua na jamii endelevu yenye kuheshimu haki za wanadamu,uhuru wa watu,demokrasia,mahakama zinazotoa haki sawa,etc ndio hapo China inafeli mno!

HongKong na China Mainland ni nchi moja with two different systems!HongKong is democratic,uchumi ni imara zaidi na watu wanaishi zaidi na wana haki zaidi na ni open to the world zaidi na ni capital of finance of the world!

World ina imani zaidi na HongKong kuliko Shanghai ndio maana watu wanapeleka hela zao pale.Kuna rule of law!

Mainland China mnataka kwenda kuiharibu HongKong na Taiwan muweke us3nge wenu usiokua na maana kabisa!

Uchumi unaoua watu bila rule of law kaa nao wewe na Xi!
 
Yani daaah umeulizwa vingine unajibu vingine hii ni shiddah.
Duh umelala wapi leo jamaa ????
 
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
12,929
Points
2,000
Upepo wa Pesa

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
12,929 2,000
Je, wana ushahidi gani kuihusisha CIA na maandamano, ina maana waandamanaji wameonekana mbele ya ofisi za American Embassy au Consulate in Hong Kong wakifolen kupewa dola???

These allegations are fake and utterly fallacious to be levelled by any responsible entity. Let the Chinese stop senseless witch hunt and embrace democracy and the rule of law.
Unadhani china ni wajinga mpaka kusema hayo maneno? Kwa akili yako finyu ulitaka uone watu wameunga mstari kwenye balozi za usa kupokea pesa ndio uamini kuwa cia wanafadhili hayo maandamano?
 
Forum statistics

Threads 1,335,178
Members 512,245
Posts 32,498,160
Top