Waandamanaji huko Hongkong waanza kuiomba USA na Trump kuwasaidia

TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
14,263
Points
2,000
TUJITEGEMEE

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
14,263 2,000
Nayale maandamano ya wanafunzi wa chuo Hai, chanzo nini!?
 
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
662
Points
1,000
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
662 1,000
Je, wana ushahidi gani kuihusisha CIA na maandamano, ina maana waandamanaji wameonekana mbele ya ofisi za American Embassy au Consulate in Hong Kong wakifolen kupewa dola???

These allegations are fake and utterly fallacious to be levelled by any responsible entity. Let the Chinese stop senseless witch hunt and embrace democracy and the rule of law.
Point,but we don't know the reality.
 
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
662
Points
1,000
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
662 1,000
Kuhusu data za uchumi wa Hong Kong ulivyokuwa mpaka sasa hivi ulivyo hayo maelezo aliyatamka Grenvile Cross former Hong Kong's director of public prosecutions from 1997-2009. Haya tupatie wewe ukweli katika hili.

Opium war 1839-1842 ni kwamba China alipigana vita na British baada ya kuzuia biashara ya Drugs nchini mwake ambayo iliathiri raia wake wengi vita ambayo ilisababisha Mchina kupokonywa Hong Kong na kulipishwa kodi.British alikuwa anafanya biashara na wafanyabiashara wa magendo wa China.

Mchina akapoteza maeneo yake ya Tizjan, Tzuchan. Hii ilikuwa battle ya tjunpei. Baada ya China kutandikwa wakaingia mkataba wa amani na Britain ambao China will transfer trade power kwa Britain, China itabidi aiachie Hong Kong kwa Britain na Macau itakuwa chini ya Portugal.

1997 Britain akairudisha Hong Kong kwa China. Mkataba waliyoingia ni kwamba Hong Kong utakuwa ni mkoa wenye mamlaka yake maalumu kwa miaka 50. Baada ya hapo serikali ya China itakuwa na mamlaka kamili. Hii ikasababisha basic law of Hong Kong plus the constitution of China. Matokeo yake ikawa one country, two systems. Hii hali mpaka leo imesababisha Hong Kong kutumia UK education System. Unafikiri UK ni mjinga aweke mfumo wa elimu kwamba aliivamia China na kuipora Hong Kong?

Unafikiri kwa nini vijana wa Hong Kong wana ndoto za kwenda Uingereza na kuipenda zaidi Uingereza na kuzungumza kingereza wanaona fahari? Tizama Hong Kongers wakihojiwa hata na mwandishi habari anayejua mandarin hawataki kuzungumza hiyo lugha wanazungumza Kingereza? Unafikiri imekuja bahati mbaya?

Chini ya utawala wa British, Hong Kongers walikuwa hawana haki ya kupiga kura mpaka Hong Kong inarudishwa China kwa makubaliano 1997. Hong kongers walikuwa raia daraja la pili. Leo wanasema wanahitaji uhuru na democracy wakati wanapiga kura ya kuwachagua viongozi wao wenyewe. Joshua Wong ukimjua utajua picha nzima ya maandamano.

Maji, umeme wanategemea kutoka China mainland. Hawana anga, anga wanayoitumia ni ya China mainland. Unafikiri Xi Ping akifunga zote hizo Hong Kong kutakuwa na maisha. Wamezaliana sana matokeo yake kisiwa kidogo. Halafu wanaandamana wamevaa mask! Huo ujinga nenda kaufanye nchi za magaribi uone watakachokufanya. Mnaandamana mpaka uwanja wa ndege mnazuia safari! Nenda kafanye nchi za magharibi uone utakachofanywa. Trump alisambaza jeshi mtaani kama hujui kuhusu maandamano raia wakatulia.

Haya nipinge kihoja si kwa viroja. Msomi huwa hakosoi kwa kusema umekosea/umeandika upupu, bali anakosoa kwa kuweka usahihi wa kile anachokosoa. Nakusubiri.
Point,japo bado hongkongers wanastahili kudai zaidi ya wanavyopata sasa kulinganisha na enzi za UK reign,maybe hawapendi kuwa part of China kulingana na sera za china ni kandamizi kwao.
 
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
662
Points
1,000
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
662 1,000
Us anahusika na pandikizi lao linaloongoza maandamano anaitwa Joshua Wong. Asili yake ni vietnam. Kipindi cha vita ya vietnam baadhi ya wakimbizi walikimbilia Hong Kong. Miongoni mwa hao wakimbizi ni wazazi wa Joshua.

Picha zake zimesambaa nyingi tu akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Amerika yeye pamoja na viongozi wenzake wa hayo maandamano. Na sasa kakimbilia Amerika ametumia kigezo cha kwenda kusoma. Mapema tu ameikimbia Hong Kong.
Ok ngoja tusubiri hii ishu ukweli wake utabainika soon tu.
 
D

Domsel

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2018
Messages
381
Points
500
D

Domsel

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2018
381 500
Sababu ni hii USA ikitumia mwamvuli wa demokrasia ulimwenguni imezitawala nchi nyingi dunia kwa kutumia NGO's zake na CIA hii ni kwa nchi za Adrika , Asia na nchi za waarabu hata hao latin Amerika
Wengine fikra zenu za kishetani, unafikiria kwa akili za kichwa cha pili kama umwanaume.
Kwa mawazo yako Mungu ameumba wengine wawe na mamlaka ya kuua wengine na kuwadhulumu, kuwaonea, kuwafi.a wenzao kama lile jinga tarumbeta la jiwe linavyo ambiwa liseme.
Huna akili nyani mkubwa shetani kabisa hujui hao wanafanya hayo wanajipa madaraka ya MUNGU
Wewe fara, baradhuri, kerebu, punda hufai kuitwa binadamu na wote mteteao maccm
 
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
595
Points
1,000
B

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
595 1,000
Heheheh vikwazo vimemshnda M RUSSIA Seuze China Asee

Mahaba Niue
 
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Messages
2,105
Points
2,000
Hammaz

Hammaz

JF-Expert Member
Joined May 16, 2018
2,105 2,000
Point,japo bado hongkongers wanastahili kudai zaidi ya wanavyopata sasa kulinganisha na enzi za UK reign,maybe hawapendi kuwa part of China kulingana na sera za china ni kandamizi kwao.
China ipo tofauti na inavyozungumziwa. China imebadilika kwa sasa! Wananchi wa China wapo huru kimawazo na wanazungumza mustakabali wa siasa nchini mwao bila kubughudhiwa na serikali.

Suala la Hong Kongers kuamua au kukataa kuwa part of China hayo siyo maamuzi yao. Miaka 100 nyuma Hong Kong ilikuwa ni sehemu ya China na mamlaka ya utawala wa China ndivyo inavyotambua hivyo.

Kihistoria siasa za China zilikuwa zimejifunga! Hong Kong mamlaka ya UK ndiyo yaliyokuwa yanatawala. Kutokana na siasa ya China ya wakati ule wafanyabiashara wengi wa China bara biashara zao kimataifa walikuwa wakizifanyia Hong Kong. Na bandari kubwa waliyokuwa wanaitumia ni bandari ya Hong Kong.

Licha ya hivyo nchi jirani karibu na ukanda wa Hong Kong hazikuwa zimeendelea nazo. China bara ilipobadili siasa zake wafanyabiashara kutoka China bara wakabaki China ya bara kufanya biashara. Ukanda wa nchi zilizopakana kw kiasi chake na Hong Kong nazo zikaendelea. Nchi kama Singapore, Korea zikapiga hatua nazo zina bandari za kisasa. Tafsiri yake ni kwamba, keki iliyokuwa inaliwa na Hong Kongers imepata washindani. Kwa hiyo ile raha kama ya mwanzo waliyokuwa wakiipata hawatoipata tena. Sababu mazingira yamebadilika.

Na Hong Kong kipindi cha mamlaka ya UK hawakuwa na haki yoyote. Hawakuwa na haki ya kupiga kura, hawakuwa na haki ya kuandamana na waliwekwa raia la daraja la pili kwenye ardhi ya nyumbani kwao. Alichofanya UK ni kuharibu history ya Hong Kongers na kuweka historia ya UK kutukuzwa. Hong Kongers wengi wao hawajui kwamba asili yao wametokea bara.

Hawajui kwamba UK alikuwa ni drug dealer na mashamba yake yalikuwa India, na kwa ubabe wake alilazimisha China inunue hayo madawa ya kulevya. China ikakataaa ndipo ilipovamiwa kijeshi na kupigwa na kupokonywa maeneo ya nchi yake.

Na kama kawaida ya UK akafanya divide and rule. Kwamba Hong Kongers ni bora kuliko asili yao ya China bara. Hii sumu haikuwalenga wazee wa nyakati ile bali iliwalenga kizazi cha sasa na matokeo yake ni kama unavyoyaona. Hawataki hata kuitwa Wachina, hawataki hata kuzungumza lugha yao ya Kichina.

Mamlaka ya Hong Kong yamekuwa na sheria zake maalumu kwa China mpaka baada ya miaka 50 ndipo mamlaka ya China itakuwa na mamlaka kamili ndiyo mkataba UK aliyoingia na China kama China wanataka warudishiwe eneo la nchi yao.

Swali la kujiuliza kwa nini UK alifanya hivyo mwaka 1997?
 
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2015
Messages
1,873
Points
2,000
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined May 5, 2015
1,873 2,000
Wengine fikra zenu za kishetani, unafikiria kwa akili za kichwa cha pili kama umwanaume.
Kwa mawazo yako Mungu ameumba wengine wawe na mamlaka ya kuua wengine na kuwadhulumu, kuwaonea, kuwafi.a wenzao kama lile jinga tarumbeta la jiwe linavyo ambiwa liseme.
Huna akili nyani mkubwa shetani kabisa hujui hao wanafanya hayo wanajipa madaraka ya MUNGU
Wewe fara, baradhuri, kerebu, punda hufai kuitwa binadamu na wote mteteao maccm
Hujamaliza kutukana unaruhusiwa kuendelea, muda wako uliobaki. tafadhari wahi
 
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Messages
2,554
Points
2,000
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2014
2,554 2,000
Je, wana ushahidi gani kuihusisha CIA na maandamano, ina maana waandamanaji wameonekana mbele ya ofisi za American Embassy au Consulate in Hong Kong wakifolen kupewa dola???

These allegations are fake and utterly fallacious to be levelled by any responsible entity. Let the Chinese stop senseless witch hunt and embrace democracy and the rule of law.
Yaani ni ujinga wa hali ya juu sana,Eti leo China hii ilivyo na sheria kali za kimitandao,CIA wapenye na kuwapa watu 2M+ ma dollar ili waambamane barabarani huku China ikiwaangalia tu na kulaumu.Halafu wanasema hivyo kwa maneno tu bila hata ushahidi,hao waliohongwa kwa nin wasiwakamate na kuwapa kesi za uhaini.Maana najua kutumika na nchi nyingine kuhujumu taifa lako ni uhaini (Capital offence).
 
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Messages
2,554
Points
2,000
SirChief

SirChief

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2014
2,554 2,000
Us anahusika na pandikizi lao linaloongoza maandamano anaitwa Joshua Wong. Asili yake ni vietnam. Kipindi cha vita ya vietnam baadhi ya wakimbizi walikimbilia Hong Kong. Miongoni mwa hao wakimbizi ni wazazi wa Joshua.

Picha zake zimesambaa nyingi tu akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Amerika yeye pamoja na viongozi wenzake wa hayo maandamano. Na sasa kakimbilia Amerika ametumia kigezo cha kwenda kusoma. Mapema tu ameikimbia Hong Kong.
Weka hizo picha na sisi tuone,otherwise itakuwa maneno matupu tuu.Ma nchi ya ki communist ya ajabu sana,yaani watu wakiwa enlighted na kudai haki zao,wanalaumu western countries.Yale maandamano kule Moscow nao walisema ni USA,sijui hawa raia wa hizo nchi hawana matatizo au ni mazombi hawawezi kudai haki zao bila kununuliwa ma USA?..
 

Forum statistics

Threads 1,335,176
Members 512,245
Posts 32,498,030
Top