Waandamanaji huko Hongkong waanza kuiomba USA na Trump kuwasaidia

Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
662
Points
1,000
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
662 1,000
Habari Wakuu

Nimeona leo Waandamanaji huko Hongkong wakiimba wimbo wa Taifa wa USA na kupeperusha bendera za USA kila kona,na wakati huo huo wakiimba Jina la president Trump na USA.

Suala la msingi ni kuwa wanaiomba USA na raisi Trump awaokoe kutoka mikononi mwa utawala kandamizi wa china.

Kuna maswali nimejiuliza matatu!!
1.kwanini hawajamuomba raisi wa China xi jinping au kiongozi wao wa Hongkong mwanamama Cam awahurumie na kuwarejeshea uhuru na democracy yao ila wanamuomba Trump?

2.kwanini wasiiombe nchi ya uingereza ambayo iliwatawala na baadae kuwapa uhuru wao kwa kuwakabidhi kwa china?

3.kwanini wasiuombe umoja wa mataifa,au nchi nyinginezo duniani Kama Russia,Germany au ufaransa ila wao wanataka USA?

4.je USA ana mamlaka kiasi gani kiasi kwamba anaweza kuwasaidia wana Hongkong kuliko umoja wa mataifa?

Naomba ndugu wadau tujadili hayo maswali kwa kina,maana peke yangu hadi sasa sijapata jibu,why?

Nimekuwa nikilifuatilia hili suala la maandamano huko Hongkong china,ambayo sasa yanaelekea mwezi wa 3 mfululizo.

Kama ni mfuatiliaji wa haya masuala ya kimataifa na migogoro Kama hii,utakuwa Unajua kuwa source ya Hongkong protests ni bill ya extradition of criminals to China (kwamba watuhumiwa wa makosa ya jinai huko Hongkong ilitakiwa waanze kupelekwa china) iliyopelekwa kwenye bunge la Hong Kong.

Wananchi wakaona autonomy yao Kama Hongkong citizen's under two goverments one country inaenda kufa na wao kumezwa na China.

Lakini cha kushangaza china wanaishutumu USA chini ya black hand of CIA,na si mtu mwingine,na hata vyombo vya Habari vya china vinataja wazi kuwa CIA inawalipa protesters ili waandamane.
Kitu ambacho USA wanagoma,
Nadhani hata nyie wadau Mnaweza kulinganisha source ya maandamano na uhusika wa USA katika hili.
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
6,488
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
6,488 2,000

China ina mfumo mbaya sana wa siasa!

Mfumo wa chama kimoja cha CCP!

Wananchi wote wanakandamizwa na hakuna demokrasia!

Members wote wa CCP ndio wenye madaraka wananchi 1.2Bil wanafuata hao CCP

Rushwa ni kubwa,wanaoruhusiwa kula rushwa ni CCP pekee!

Haki za binadamu hakuna!

Mfumo ya mahakama ni wa hovyo kabisa,mahakama hazitoi haki kwa wote kwa usawa!

Censorship kubwa kwenye mitandao nk!

CCP ndio inasimamia propaganda na vyombo vyote vya habari China!

Their narrative is correct,others hazitakiwi!

Halafu Jiwe na CCM wanasema tu-copy huo upumbavu!

Majinga kabisa haya maCCM!
 
Eti China imeendelea tu-copy mfumo wao!

MaCcM na Jiwe hawapo serious kabisa!

Eti demokrasia haina maendeleo,mna kichaa nyie??

Japan,South Korea,Singapore,Taiwan,etc wnaa demokrasia na wana maendeleo makubwa!

China ni mfumo wa hovyo sana wa Jiwe!

Asije akatuletea huo upumbavu kabisa!
 
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
662
Points
1,000
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
662 1,000
China ina mfumo mbaya sana wa siasa!

Mfumo wa chama kimoja cha CCP!

Wananchi wote wanakandamizwa na hakuna demokrasia!

Members wote wa CCP ndio wenye madaraka wananchi 1.2Bil wanafuata hao CCP

Rushwa ni kubwa,wanaoruhusiwa kula rushwa ni CCP pekee!

Haki za binadamu hakuna!

Mfumo ya mahakama ni wa hovyo kabisa,mahakama hazitoi haki kwa wote kwa usawa!

Censorship kubwa kwenye mitandao nk!

CCP ndio inasimamia propaganda na vyombo vyote vya habari China!

Their narrative is correct,others hazitakiwi!

Halafu Jiwe na CCM wanasema tu-copy huo upumbavu!

Majinga kabisa haya maCCM!
Ni ukandamizaji wa hali ya juu Sana mkuu,ujamaa ni hatari.
 
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2015
Messages
1,873
Points
2,000
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined May 5, 2015
1,873 2,000
Sababu ni hii USA ikitumia mwamvuli wa demokrasia ulimwenguni imezitawala nchi nyingi dunia kwa kutumia NGO's zake na CIA hii ni kwa nchi za Adrika , Asia na nchi za waarabu hata hao latin Amerika
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
6,488
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
6,488 2,000
Sababu ni hii USA ikitumia mwamvuli wa demokrasia ulimwenguni imezitawala nchi nyingi dunia kwa kutumia NGO's zake na CIA hii ni kwa nchi za Adrika , Asia na nchi za waarabu hata hao latin Amerika
Conspiracy theories hizi!

Mfumo wa China na Korea Kaskazini ndio mfumo sahihi?

Unakandamiza wananchi bila haki za binadamu na kuua utakavyo?

Demokrasia over anything!

Nchi za demokrasia na rule of law zimeendelea!

Sio South Korea,sio Japan sio Israel sio Singapore,sio India,sio South Africa,sio USA,sio UK ,sio Germany,etc

Unakuja kutulete mfano wa hovyo kabisa wa China!

Nchi inaongozwa na group la wanaojipendelea la CCP na ku-suppress everybody else!

Ndio maana HongKong wananchi hawataki kabisa mfumo wa China!

Ndio wana miezi wanaandana!

Wale ni watu,wananchi wa Hongkong,wenye uchungu na mfumo huru wa haki,hawataki China ilete upumbavu wake wa unyongaji kwa wana HongKong!

Halafu jinga kama wewe unakaa humu na akili yako finyu unatetea mifumo dhalimu ya kiimla kwa wanadamu!

Bure kabisa!
 
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
662
Points
1,000
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
662 1,000
Sababu ni hii USA ikitumia mwamvuli wa demokrasia ulimwenguni imezitawala nchi nyingi dunia kwa kutumia NGO's zake na CIA hii ni kwa nchi za Adrika , Asia na nchi za waarabu hata hao latin Amerika
Lakini mkuu katika ishu ya Hongkong,source ya maandamano iko wazi,je hapa USA ameingizwaje ndio Swali?
 
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
662
Points
1,000
Nedago

Nedago

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
662 1,000
Conspiracy theories hizi!

Mfumo wa China na Korea Kaskazini ndio mfumo sahihi?

Unakandamiza wananchi bila haki za binadamu na kuua utakavyo?

Demokrasia over anything!

Nchi za demokrasia na rule of law zimeendelea!

Sio South Korea,sio Japan sio Israel sio Singapore,sio India,sio South Africa,sio USA,sio UK ,sio Germany,etc

Unakuja kutulete mfano wa hovyo kabisa wa China!

Nchi inaongozwa na group la wanaojipendelea la CCP na ku-suppress everybody else!

Ndio maana HongKong wananchi hawataki kabisa mfumo wa China!

Ndio wana miezi wanaandana!

Wale ni watu,wananchi wa Hongkong,wenye uchungu na mfumo huru wa haki,hawataki China ilete upumbavu wake wa unyongaji kwa wana HongKong!

Halafu jinga kama wewe unakaa humu na akili yako finyu unatetea mifumo dhalimu ya kiimla kwa wanadamu!

Bure kabisa!
China wamekosea kuanza kuiingilia Hongkong,hii movement ya Hongkong inaweza kuingia hadi china mainland,kama viongozi wa china hawata solve hili vizuri.
 
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Messages
1,427
Points
2,000
Niccolo Machiavelli

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2017
1,427 2,000
China wamekosea kuanza kuiingilia Hongkong,hii movement ya Hongkong inaweza kuingia hadi china mainland,kama viongozi wa china hawata solve hili vizuri.
Umeona eeh.....wanaweza kutumia maumivu ya Wachina kuhusu vita ya kiUchumi na Marekani
 
Forum statistics

Threads 1,335,187
Members 512,261
Posts 32,498,436
Top