Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,801
Wananchi wa marekani leo wameandamana maeneo mbalimbali ya Nchi hiyo ktk kilele cha kuadhimisha miaka 12 ya Jela hiyo,tangu alipoingizwa mahabusu wa kwanza ndani ya jela hiyo, wakipinga kuendelea kuwepo kwa jela hiyo ambayo rais Barack Obama aliahidi kuifunga wakati wa kampeni zake za kugombea u rais, na hajafanya hivyo.