Waambieni vijana wenu wanaosoma kuwa hakuna u-genious bila juhudi binafsi

Sema hujawahi kusoma na magenius tu ueleweke.

Kwa ambao tumesoma na vipanga shughuli yao twaijua
Umesoma na waliokuwahi kumaliza topics wakati wa likizo otherwise impact yao hao jamaa zako tungeiona huku kwenye changamoto halisi za maisha ambako huhitaji tuition ,unahitaji maamuzi ya papo KWA papo bila kuwa na hand out yoyote
 
Huyu haelewi kwa nini kuna IQ test, hajui kwamba kuna slow learners na fast learners. Kuna training moja nilisoma na wazungu nilipokuwa majuu, aiseee huwezi amini namna wanavyofundishwa ni kana kwamba hicho wanachofundishwa walishakielewa mapema, yaani kwa slow learners waliojaa kwa jamii ya watu weusi kipindi kinaweza kuisha na hujaelewa chochote...
Hukuelewa sababu foundation na background Yako haikuwa vzr mkuu bado niko na mtoa mada
 
Mkuu hii ishu ni ngumu kueleweka.

Ila nina hakika una mawazo kama yangu
 
Mkuu, acha kujifariji. Kama wewe ulikuwa hufanyi vizuri darasani, anza kuwapeleka watoto wako shule za ICU (English media). Akili zinarithiwa kama vile unene, weupe na urefu. 'Haiwezekani' baba mweusi tii, mama mweusi tii katoto kazaliwe keupe peee! Ndivyo hivyo. Haiwezekani baba kilaza, mama kilaza azaliwe mtoto brilliant.
Kwa maana akili wewe unaipima kwa masomo ya darasani tu eti.
 
Kwa hiyo unakubali u-genius upo?
Kwa maana ya kuwa ugenius ni juhudi,imagination na kutokukata tamaa nakubali ugenius upo.

Atakayekuwa na juhudi kubwa,na imagination kubwa na kutokukata tamaa bila shaka atakuwa na ugenius mkubwa na atafanya mambo makubwa.

Kwa ugenius huu niliouelezea basi naam upo nakubali.
 
Nimekupa evidence juu ya watu ambao walisifika vipanga na struggle walizozifanya.

Mfano aliyefanya majaribio ya balbu angejiamini kama yeye genius kwamba akifanys mara mbili tatu tu anafanikiwa basi angeacha tafiti ya bulb kwa sababu angeamini haiwezekani,lakini akajitahidi akafanya mara kibao.

Huu ni mfano mdogo tu kuwa hata darasani mtu ukiona anaelewa kitu mapema basi ujue kuna concept anayo ambayo imemuwezesha kuelewa jambo hilo,au kuna lugha anatumia mwalimu yeye anaielew zaidi.

Na wanafunzi tuliokuwa tunawaita gipanga unasema wanaelewa mapema kumbe wenzio wameshakata mapindi zamani hapo darasani shule wanarudia tu kusoma,why asielewe mapema ?

Mimi nimesoma na mtu alikuja kupata div 1 nzuri tu,yule jamaa kila tupoic tuliyosoma darasani yeye alishaisoma mtaani,hivyo kama hatuelewi tunamuendea anatufundisha alafu tunasema yeye ni jiniazi.

Kumbe na sisi tungepoteza muda kusoma nje mapema kama yeye tungeelewa vizuri tu darasani kwa sababu ingekuwa tunafanya revision.

Usidanganyike na kitu ujiniaz bila juhudi za dhati,hakuna kuelewa mapema bila reason yeyote.

Kuna mambo mengi yanayochangia mtu kuelewa mapema lakini sio ujiniaz,sahau kitu hiki mkuu .
Mkuu hii mbinu yakufanya Topic zote mtaan shuleni unarudia tu nimeiona kwa mdogo wangu. Shuleni wanamuita genius tangu form 1 Hadi saiv Yuko form 4 anakamata namba 1, Form two matokeo alipiga one ya point 7.

Yuko day school, dogo anasoma, Yani most of the time anajifungia chumbani na kitabu. Ukimpa hela kanunue hata jeans uvae ataenda kununua kitabu. Utakúta kitabu Kama Cha hesabu form 4, ananunu hata vitatu ili aone utofauti wa muundo wa topics kutoka kwa waandishi na utofauti wa mfumo wa maswali yake

Yeye anatafutaga watu wakumfundisha wale ambao wako chuo wakija likizo anapiga pindi anamaliza topic zoteee, Kama mwaka Jana alimaliza topic za form 4 mwezi wa 9 target yake ilikuwa akiingia form four nikujibrash sio kuanza kusoma vitu vipya.
 
Hahaha huu umotivesheni wangu ndio umemtoa kijana wangu kutoka kuwa top 20 ya watu wa mwisho darasani mpaka kuja kuwa top 3 ya watu bora darasani.

Motivesheni ni kitu kina power kubwa sana.

Lakini tu iwe motivesheni yenye reality kabisa
Motivesheni yenye reality, sio nilianza na mchele kilo 2 sasa namiliki Serena Hotel.
 
Mkuu hii mbinu yakufanya Topic zote mtaan shuleni unarudia tu nimeiona kwa mdogo wangu. Shuleni wanamuita genius tangu form 1 Hadi saiv Yuko form 4 anakamata namba 1, Form two matokeo alipiga one ya point 7.

Yuko day school, dogo anasoma, Yani most of the time anajifungia chumbani na kitabu. Ukimpa hela kanunue hata jeans uvae ataenda kununua kitabu. Utakúta kitabu Kama Cha hesabu form 4, ananunu hata vitatu ili aone utofauti wa muundo wa topics kutoka kwa waandishi na utofauti wa mfumo wa maswali yake

Yeye anatafutaga watu wakumfundisha wale ambao wako chuo wakija likizo anapiga pindi anamaliza topic zoteee, Kama mwaka Jana alimaliza topic za form 4 mwezi wa 9 target yake ilikuwa akiingia form four nikujibrash sio kuanza kusoma vitu vipya.
Siiumeona mkuu hakuna miujiza mikuuuubwa.
 
Kwa maana ya kuwa ugenius ni juhudi,imagination na kutokukata tamaa nakubali ugenius upo.

Atakayekuwa na juhudi kubwa,na imagination kubwa na kutokukata tamaa bila shaka atakuwa na ugenius mkubwa na atafanya mambo makubwa.

Kwa ugenius huu niliouelezea basi naam upo nakubali.
Mkuu, ma-genius wapo, tukubali au tusikubali. Na u-genius hautafutwi kwa kujibidisha (juhudi), mtu anazaliwa nao (it is a genetic character).

Kwa hiyo basi, hata kama mtu atafanya bidii iliyoje, kama hana hizo characters za u-genius hawezi kumfikia uwezo genius, kwa sababu u-genius ni natural power (kama tungeita hivyo).

Ukitaka kuwapima (au kuhakikisha) mtu mwenye uwezo wa kawaida na genius, hata kama huyu mwenye uwezo wa kawaida akawa na elimu ya juu kuliko mwenzake ambaye ni genius, kwa kuwauliza swali geni (jipya) kwa wote linalohitaji kufikiri na kutoa majibu, genius atakuwa wa kwanza kukupa jibu kabla ya mwenzake pamoja na kuwa elimu ya darasani ya huyu genius ni ndogo. Hii inatokana na uwezo wake wa kufikiri (u-genius).

Hivi karibuni tumesikia (na kushuhudia) mtoto mmoja kutoka huko Morogoro akionyesha uwezo mkubwa wa kujibu maswali ya hesabu. Yawezekana wapo watu wanasema yale maswali yalikuwa ya kawaida (marahisi), ukweli ni kuwa kwa level ya umri wake, yale ni maswali mazito. Tujiulize, sisi tupokuwa na umri kama wa yule dogo, tuliweza kujibu maswali ya namna ile? Huo ndio u-genius wenyewe.

Miaka ya nyuma kidogo (nadhani 1992) aliibuka dogo mmoja kwa jina Mbuguwa, huyu dogo alikuwa na umri wa kama miaka 12 hivi, lakini uwezo wake ulikuwa wa juu mno kiasi cha kuwashangaza watu wengi. Huyu naye alikuwa genius. Nakumbuka ili kuthibitisha uwezo wa yule dogo, alipelekwa University of Dar es Salaam, huko alihajaribiwa kwa kuuliulizwa maswali kadhaa yahusuyo computing, majibu aliyotoa yaliwashangaza wahadhiri, ikilinganishwa na umri wake.
 
Mkuu katika ishu ya kusoma juhudi inamata sana.

Ishu ni kusoma kwanza,juhudi lazima ihusike ili mtu afaulu vizuri.

Usinipe hpja mbali na masomo kwa sababu kila kitu kina upana wake na ugenius una upana wake,ila mimi nimegusa kwenye masomo na ufaulu.

Kama husomi huwezi kufaulu.

Mfano sisi wakati tunasoma best student wetu wakati tupo katikati ya mwaka yeye keshamaliza topics zote za mwaka huo.

Huku kumaliza kwake topics ndio juhudi yenyewe na sio ujiniaz mzee
 
Mkuu hii mbinu yakufanya Topic zote mtaan shuleni unarudia tu nimeiona kwa mdogo wangu. Shuleni wanamuita genius tangu form 1 Hadi saiv Yuko form 4 anakamata namba 1, Form two matokeo alipiga one ya point 7.

Yuko day school, dogo anasoma, Yani most of the time anajifungia chumbani na kitabu. Ukimpa hela kanunue hata jeans uvae ataenda kununua kitabu. Utakúta kitabu Kama Cha hesabu form 4, ananunu hata vitatu ili aone utofauti wa muundo wa topics kutoka kwa waandishi na utofauti wa mfumo wa maswali yake

Yeye anatafutaga watu wakumfundisha wale ambao wako chuo wakija likizo anapiga pindi anamaliza topic zoteee, Kama mwaka Jana alimaliza topic za form 4 mwezi wa 9 target yake ilikuwa akiingia form four nikujibrash sio kuanza kusoma vitu vipya.
Duuh good one
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom