Waalimu wote na wapiga chabo inawahusu hiiiii

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,342
306638_325249000900523_1446370248_n.jpg

Dah huyu alinizidi ujanja nikaona si mbaya nikimpiga picha
 
maisha ni safari ndefu, leo vinaitwa Desa zamani sisi tuliita PP (Private Paper) msimamizi akiona mwanamama anafungua au mapaja yako wazi anameza kwanza mate.
Du mmenikumbusha mbali maana km class ndo inamtuma akabebe huo mzigo kwa Lecture hakuna cha wizu hata km ni Demu wako, Vumilia hata km atakanyw... ww pata majibu.
 
Nimecheka sana sana. Ahsanteni kwa kuniongezea siku za kuishi.

Kweli maajabu hayataisha.
 
View attachment 58973

Dah huyu alinizidi ujanja nikaona si mbaya nikimpiga picha
Duuh huyo lazima atakuwa mtahiniwa wa faragha (Private Candidate), maana kwa aina hiyo ya madawati na mavazi yao kama itakuwa chuo basi ni vyuo vya Kayumba.

Kwa dada yangu mpendwa, Mheshimiwa Dokta J. Ndalichako (Katibu Mtendaji - NECTA) kiboko ya wahalifu wa Mitihani, nakuamini kwa kazi yako nzuri, pindi usomapo hii, ipange upya safu ya wasimamizi wako. Kazi bado kubwa Mheshimiwa.
 
Wewe hiyo kamera ya cm uliyotumia kupiga nayo ulitumia kugoogle majibu

Kweli sijakataa aisee hapo umepatia unajua mimi mzuri sana kwenye practical sasa huku kwenye theory hua wananionea sana na nachukia sana hasa hawa wanaoingia na vibuti wanapopata all A halafu wakija wakakuonesha ndio unawapa kitengo .......aahagaahaggggg sasa si bora na mimi nipige chabo tu.......
 
Duuh huyo lazima atakuwa mtahiniwa wa faragha (Private Candidate), maana kwa aina hiyo ya madawati na mavazi yao kama itakuwa chuo basi ni vyuo vya Kayumba.

Kwa dada yangu mpendwa, Mheshimiwa Dokta J. Ndalichako (Katibu Mtendaji - NECTA) kiboko ya wahalifu wa Mitihani, nakuamini kwa kazi yako nzuri, pindi usomapo hii, ipange upya safu ya wasimamizi wako. Kazi bado kubwa Mheshimiwa.

AAaaaaa wapi hao huwezi wazuia kiivo kwa sababu wanajibu maswali kama inavyotakiwa huyo mheshimiwa hawezi hapo kijana, na sasa hivi wako wengi kweli nikiweza next time ntawawekea na video kabisa......yaani wanafaulu balaaaa na first class za kutisha halafu hao hao wanarudi kufundisha chuo dah ila hua wanoko sana
 
Back
Top Bottom