Waalimu wapya tunapostiwa lini?

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Jamani tumesibiri hadi basi. Nani anajua ni lini wizara itatoa posting za waalimu wapya?
 
Tetesi nilizozipata kutoka kwa Afisa mmoja huko Wizarani zinalonga kuwa Posts zitatoka tarehe 25 wiki ijayo. Kaa mkao wa kula ndugu!
 
post tunazililia ila tukishazipata tunapanga mikakati ya kugoma...jamani tukipata tufanye kazi kweli..
hope ziko njiani
 
Sasa si heri watangaze mtu ajue anaenda wapi ili ajue kama ataweza au aende zake praivet.
 
Post ziko tayari.tatizo hazina hakuna pesa ndugu.subiri wakusanye ndo watadisplay post ujue umepangwa wapi.yaweza kuwa hata baada ya bajet 2013/14.hazina imefulia.
 
Back
Top Bottom