- Thread starter
- #21
Post ziko tayari.tatizo hazina hakuna pesa ndugu.subiri wakusanye ndo watadisplay post ujue umepangwa wapi.yaweza kuwa hata baada ya bajet 2013/14.hazina imefulia.
Mh, unatuogopesha mkuu. Tumeshachoka kukaa mtaani bila kazi, du!
Post ziko tayari.tatizo hazina hakuna pesa ndugu.subiri wakusanye ndo watadisplay post ujue umepangwa wapi.yaweza kuwa hata baada ya bajet 2013/14.hazina imefulia.
kuweni na subira kama mlivovuta subira kuiweka ccm madarakani!Mwingine kaniambia kesho tar 19, sijui tushike lipi, ni kusubir tu.
Nawashauri ukipangiwa kazi ya ualimu kama huna kazi nenda popote pale then utapata mawazo mengne wkt upo kazini,ogopa kukataa kaz wku huna kaz tkcare.
umesema vyema mkuu!Inabidi 2amke kwa kuchagua serikali itakayofaa na kutimiza vi2 vya muhimu kwa wakati km hv.
Presha inapanda, presha inashuka. Kuna mdau Halmashauri(Arusha) kaniambia kwa kujiamini kuwa post zitatoka kesho. Waalimu tujiandae kwenda Simiyu, Rufiji, Ngara etc.
serikali imeishiwa haina pesa, kikwete na mkapa bora nani????Jaman naskia ajira hakuna tena hadi mwez wa tano, ni kweli?
Kweli sasa sitochezea kazi, popote kambi, mbona tandahimba ntapaona kama dar tu!