CoSo
New Member
- Jun 27, 2016
- 0
- 0
Hi Wanajamii, nahitaji kupata wafanyabiashara wakubwa ambao huagiza makontena ya viatu kuleta hapa Tanzania, au kama unawajua wauzaji wakubwa wa viatu au bidhaa zozote zinazohusiana na ng'ozi hapa nchini tafadhali wasiliana kwa email cosotanzania@gmail.com au simu na. 0788 298 071 kuna fursa kwaajili yao.
Thanks
CoSo
Thanks
CoSo