Kuna hili jambo ambalo limekuwa linanisumbua kila mara:
Nimekuwa nikiwaza sana na mwisho nikafikia hitimisho kwamba Mungu aliwapendelea WAZUNGU sana, akawapa AKILI NYINGI wao, na uwezo wa kufikiri MKUBWA NA MPANA, KULIKO SISI WAAFRIKA, ndio maana wamefika huko waliko kimaendeleo na mfumo wa maisha kijumla!
Hata tukilaumu kwamba walitununua kama bidhaa enzi za biashara ya utumwa, bado hoja hiyo haifuti hoja ya msingi kwamba wana AKILI nyingi zaidi, maana walinunua watumwa baada ya kugundua kwamba KAZI zimewazidi, na wanahitaji wafanyakazi zaidi kwenye mashamba na viwanda!
Mbona sisi hatukuwa wa kwanza kuwachukua wao kama watumwa, na kuwaleta huku Africa? Tulikuwa wapi? - basi mimi nasema , ni kwasababu tuna akili kidogo , au akili yetu IMEPELEA, kulinganisha na wao.
Nawasilisha, nikiomba mitizamo yenu.
Kama tuna akili pungufu mbona tukufanya kazi na wazungu au tulifanya kazi uzunguni tunafanya kazi vizuri na tunatumia vizuri akili zetu?
Nyani Ngabu huko Nhelegani kwenu nini, kijiji flani karibu na Shinyanga Mjini. Lakini kubali tusikubali ukweli ndio huo, waafrica akili tunazo lakini wenzetu wazungu wanafikiria haraka zaidi kuliko sisi.
Umenichekesha sana hili swali nilijiuliza sana maaana zamani nilikuwa nikiumiza kichwa kwanini sisi hatukuwatawala wazungu?
Uwanja wa taifa siku ya uzinduz tu-koki za mabomba zilivyoN'golewa.hapa juz kati viti vikavunjwa tena-vit vya uwanja pekee na wa gharama-hapo ndio nakubalian na aloleta uzi.
Kula tano...mie nakubaliana sana na hii hoja kwa ujumla waafrika tuna akili ndogo sana kulinganisha na wazungu kidogooo tunalingana na waarabu tuu...sio marais waafrika wanaiba mabilioni na bado wanaenda kuyaweka huko huko kwa wazungu..mbona viongozi wa nchi za ulaya sio walafi kama waafrika???hebu angalia hata wanamuziki matajiri wa kiafrika huko US wanavyohangaika na pesa..akina pdidy,na wenzake mabling bling kibaaoo mbona wanamziki wa kizungu hawafanyi hayo???kuna mambo mengi yanayoashiria akili ya mwaafrika ni ndogo kuliko ya mzungu na hio ni FACT!!!We Nyani Ngabu uko na mimi sawasawa!
Wazungu walipewa nusu ya ziada kutushinda.
Kwanini kwetu sisi hata Maprofesa wetu wanarudi kugombea Ubunge, wakaacha fani zao za Kufundisha, Kufanya Utafiti na Kutoa Ushauri?
Kisha wakiwa wabunge wanaanza "sihasa"..uwongouwongo tu na ukweli kwa mbali!!
Narejea."Tuna AKILI PUNGUFU kuliko wazungu!"
Angalia idadi yao na yetu tunaofanya hivyo vitu,then sisi tumegundua nini katika ulimwengu huu wa technologia