Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,783
- 819
Kuna hili jambo ambalo limekuwa linanisumbua kila mara:
Nimekuwa nikiwaza sana na mwisho nikafikia hitimisho kwamba Mungu aliwapendelea WAZUNGU sana, akawapa AKILI NYINGI wao, na uwezo wa kufikiri MKUBWA NA MPANA, KULIKO SISI WAAFRIKA, ndio maana wamefika huko waliko kimaendeleo na mfumo wa maisha kijumla!
Hata tukilaumu kwamba walitununua kama bidhaa enzi za biashara ya utumwa, bado hoja hiyo haifuti hoja ya msingi kwamba wana AKILI nyingi zaidi, maana walinunua watumwa baada ya kugundua kwamba KAZI zimewazidi, na wanahitaji wafanyakazi zaidi kwenye mashamba na viwanda!
Mbona sisi hatukuwa wa kwanza kuwachukua wao kama watumwa, na kuwaleta huku Africa? Tulikuwa wapi? - basi mimi nasema , ni kwasababu tuna akili kidogo , au akili yetu IMEPELEA, kulinganisha na wao.
Nawasilisha, nikiomba mitizamo yenu.
Lakini kweli ni wabunifu, mpaka wameibua 'papuchi' za kishoga..!!!! na sasa mdume anaweza kumtokea mdume mwenzake...!!!! duh...!!! IQ yao ni infinity.