PJ
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 297
- 32
Ujue kwamba waafrica akili zao ni pungufu angalia viongozi wetu. Wako tayari mamilion ya watu wafe ili wao wabaki madarakani. huu ni ufinyu wa akili.
angalia wanasiasa wetu hawana hata akili ya kufikiria maendeleo ya watu wao. Wanachojali ni matumbo yao. Hivi ndivyo waafrica walivyo.
angalia wanasiasa wetu hawana hata akili ya kufikiria maendeleo ya watu wao. Wanachojali ni matumbo yao. Hivi ndivyo waafrica walivyo.