Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Kutaja neno MJALUO unatukosea heshima. Na ni ubaguzi dhidi ya kabila langu. Lakini nakumbuka wakati wa kumuondoa na kumuua Gadhafi . Americans hawakuwa mstari wa mbele bali France, England na washirika wao wa NATO .Wewe ni mbaguzi, mdini, na unachuki mbaya dhidi ya waarabu. Gadafi kauawa dhidi ya mjaluo nadhani unalijua hilo ndio maana umeleta utaifa wako hapa racism mkubwa wewe usie na haya., it shows ulifurahia kifo chake, kule congo, mali, sudan kusini, south afrika wanauliwa na wakina nani?