Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,324
- 5,934
Floyd kauawa imekuwa ishu kubwa na kupelekea baadhi ya nchi za kiafrika kuandamana, ni ulimbukeni tu!
Ninyi mnaocomment humu na kupost mada zenu kuhusu kusikitishwa alichofanyiwa Floyd je, mlikuwa wapi Mzee wetu na kiongozi wetu wa Afrika Marehemu Gadafi siku anauawa dhidi ya Mjaluo na Mwafrika mwenzetu OBAMA akishirikiana na ndugu zake mabeberu weusi na weupe?
Je, kuna yeyote humu kati yenu ama viongozi wa afrika waliothubutu kupaza sauti na kutaka watu waandamane kwa tukio la mzee wetu! kiongozi alie na huruma na imani kwa Waafrika wenzie amedhalilishwa kiasi hicho na amekosa wa kumtetea nanyi mnaangalia tu!!! Huu ni ubaguzi ulio wazi kabisa, na Mungu anawaona!
Yote hayo mmeyapotezea 👆🏿
Waafrika tuna matatizo sana sana sio siri, Ndugu yetu kauawa tumetulia kimyaa kama hakujatokea chochote, Na wengine humu humu wafuasi wa mabeberu wakimsema na kumkashifu vibaya huyu mzee wetu na kuungana kwa pamoja na hao mabeberu wasiotutakia mazuri..Anaweza kuchukiwa kwa mengi, lakini ukweli lazima usemwe kwamba huyu ni kiongozi aliyesimama imara kupinga ukoloni wa aina yoyote na wala asiyeogopa kusema lolote dhidi ya wakoloni.
Floyd kauawa, Mabeberu/Black American's wameandamana kwa pamoja na kupora mali za watu, Ujerumani na Kenya pia wameandamana sababu tu ya Floyd..
Okay, mbali na Floyd kuuawa..je kuna mmoja wenu alieguswa na vifo vinavyotokea Libya, Congo, Iraq, Mali, Syria, Yemen, Msumbiji na Palestina? watu wasio na hatia wanauawa dhidi ya hao hao mabeberu mmetulia kimyaa, Palestina kila siku watoto, wajane, wazee wanauawa kikatili dhidi ya wayahudi na yote haya wanayaona hawa mabeberu, Black American's + All Africans lakini hawakuwahi kupaza sauti, wala kuandamana, badala yake wanafurahia na kuchekelea vifo vinavyotokea katika nchi hizo..Inasikitisha sana sana.
Unafiki umetujaa sana waafrika, na hasa hapa bongo kwa kujipendekeza na kujifanya watu wema na wenye huruma hatujambo!
Ni hayo tu!