chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,982
Nimeandika nikasema halihalalishi yeye kuuawaDah! Kuwa na criminal record si ticket ya mtu yeyote yule KUULIWA kinyama popote pale duniani achilia mbali Marekani. Ulichokiandika hapa si kweli, "Wapo Wamarekani weusi wema wanauawa na majambazi ambao Ni Wamarekani weusi Ila Wala hakuna mwenye habari nao" JIONGEZE ili uweze kujua ni namna gani Wamarekani weusi na hata wasio weusi ambavyo wanapambana kufuatilia vifo au maonevu mengi yanayofanywa na polisi kwa watu weusi badala ya KUROPOKA kitu ambacho huna UFAHAMU nacho.
Wamarekani weusi wanauawa Kila siku kwenye magenge, vyombo vya habari havitangazi, wazungu hawaandamani kupinga, wala hata Wamarekani weusi wenyewe hawaweki energy kubwa kupinga hayo mauaji, akiuawa na polisi ndio kelele zinakuwa nyingi Sababu ndio 'yanauza' zaidi