Pamoja na hayo kwa sababu Wamarekani weusi wanauana wenyewe kwa wenyewe bado HAITOI halali kwa mtu mweusi yeyote yule kuuawa kwa kudai kwamba mbona wenyewe kwa wenyewe WANAUANA? Basi nasi tuwaue. Huo ni upuuzi wa kutaka kuhalalisha mauaji ya Floyd eti tu kwa sababu weusi wanauana wenyewe kwa wenyewe na kuwaita Wamarekani weusi ni WANAFIKI wakati hujui chochote kuhusu mapambano yao katika kupinga UDHALIMU mbali mbali dhidi yao kwa miaka mingi sasa. Ungekuwa unajua wanavyopambana usingeandika huo upuuzi wako.