Waafrika tuacheni unafiki dhidi ya Floyd

Waafrika tuacheni unafiki dhidi ya Floyd

Unaleta ubishi wa kitoto. Unataka kuhalalisha kifo cha Floyd kwa sababu ana criminal record. Maandamano ya watu weusi na wa rangi nyingine ni ya WANAFIKI. Una tatizo wewe narudia tena si tatizo dogo bali ni KUBWA. Vyombo vya habari nchi nyingi duniani ambavyo vilitangaza sana kuhusu kifo cha Floyd navyo ni VINAFIKI. Marais Obama, Clinton, Bush, Carter ambao nao walizungumzia hii issue kwa kina na kutaka litafutwe suluhisho la kudumu ili kukomesha vifo vya watu weusi wasio na hatia mikononi mwa polisi nao ni WANAFIKI. Congress na Senate za USA ambazo nazo zimeona ni tatizo kubwa na kuanza kujadili hatua mbali mbali za kuchukua ili kukomesha vifo vya watu weusi wasio na hatia navyo ni VINAFIKI ila wewe UNAYEJUA BLACK HISTORY kuliko mimi ndiye huna UNAFIKI kwenye swala hili. Kweli akili ni nywele.

Young black men killed by US police at highest rate in year of 1,134 deaths
Mi sihalalishi kifo cha mtu yoyote, wapi nimesema anastahili kufa?

Hapo umeleta link unasema young black men wanauawa Mara 5 kuliko white,
lakini hawajakuambia root ya Hilo, young blacks ambao Ni 2% ya American wote account for 52% of all homicides in USA

Yaani zaidi ya nusu ya mauaji yote USA yanafanywa na mtu mweusi, Tena mostly ni kwa mweusi mwenzake.!

Sasa hapa mnasema Ni ubaguzi ila hata polisi wote Marekani wakiwa weusi, still bado watu Weusi ndio watakuwa wanauawa kwa rate kubwa kuliko weupe

Sababu wao Wana high crime rate hence ndio wanakuwa na confrontation nyingi na polisi kuliko weupe, na the more often you confront with police the more likely you are to get killed by police

Sasa discussion ya maana kidogo pengine ingekuwa kwa Nini vijana wengi weusi wanaangukia kwenye uhalifu ambao ndio mzizi wa yote haya?
 
Huyu Hutu Ghadafi aliyetuma majeshi kuunganana nduli Amini kuimaliza kabisa nchi yetu ndio amekuwa mwema?

Huyu huyu aliyekuwa anaandaa Dola moja ya kidini Afrika na kufuta dini nyingine?

Wewe unaonyesha ni mbaguzi wa rangi na ni mdini vile vile, hata kifo chake it shows hakijakugusa kisa tu mwarabu/muislamu.. Watu wa sampuli kama yako mnapaswa kukatwa vichwa hamfai kuishi duniani ili iwe fundisho kwa wengine

Nachukia sana ubaguzi wa aina yoyote,
 
This jamaa has been brainwashed na anachanganya mambo sana. Yes Black crimes exists in America and should be addressed but killing them sababu ya rangi yao is unacceptable.
Kwa nini una jump kwenye rangi moja kwa moja?,Kwa nini usiseme tu yule askari was brutal as animal,kwa nini uhisi alimuua sababu ya rangi tu na sio kwamba ni ukatili wake tu kama binadamu wengine wakatili?..Ukatili hauna rangi,upo kwa mtu yeyote...
 
This jamaa has been brainwashed na anachanganya mambo sana. Yes Black crimes exists in America and should be addressed but killing them sababu ya rangi yao is unacceptable.
Hajawa brainwashed,,anatumia ubongo wake independently bila kusukumwa na covert media agendas...I can say watu type yako ndio mko brainwashed...
 
Wewe unaonyesha ni mbaguzi wa rangi na ni mdini vile vile, hata kifo chake it shows hakijakugusa kisa tu mwarabu/muislamu.. Watu wa sampuli kama yako mnapaswa kukatwa vichwa hamfai kuishi duniani ili iwe fundisho kwa wengine

Nachukia sana ubaguzi wa aina yoyote,
Yaani mtu akiwa na mawazo tofauti na yako ni Racist?..Hivi watu sku izi mmekuaje,Hamuwezi kujenga hoja bila kuita watu majina ya ajabu??..
 
Mi sihalalishi kifo cha mtu yoyote, wapi nimesema anastahili kufa?

Hapo umeleta link unasema young black men wanauawa Mara 5 kuliko white,
lakini hawajakuambia root ya Hilo, young blacks ambao Ni 2% ya American wote account for 52% of all homicides in USA

Yaani zaidi ya nusu ya mauaji yote USA yanafanywa na mtu mweusi, Tena mostly ni kwa mweusi mwenzake.!

Sasa hapa mnasema Ni ubaguzi ila hata polisi wote Marekani wakiwa weusi, still bado watu Weusi ndio watakuwa wanauawa kwa rate kubwa kuliko weupe

Sababu wao Wana high crime rate hence ndio wanakuwa na confrontation nyingi na polisi kuliko weupe, na the more often you confront with police the more likely you are to get killed by police

Sasa discussion ya maana kidogo pengine ingekuwa kwa Nini vijana wengi weusi wanaangukia kwenye uhalifu ambao ndio mzizi wa yote haya?
Na hini ndio swali la msingi sana blacks wengi USA wangetakiwa ku deal nalo,wakiweza kukaa chini na kutafuta jawabu la hili swali,watakuwa wamepiga hatua kubwa sana..Kitu kinachochangia sana vijana weusi kuingia kwenye criminal gangs ni kukosa malezi ya wazazi wawili,watoto wengi weusi wanalelewa na mama peke yake bila baba.Kiuhalisia baba ana nafasi kubwa sana katika ku shape tabia ya mtoto wa kiume kumuweka katika mstari.
watu hawataki kusolve mzizi wa tatizo,wanaongozwa na mihemko ya muda mfupi ambayo haina manufaa ya kudumu.Hpo hapo wanatumika kisiasa bila kujua...
 
Walikua wamesha mwita dikteta Kama wanavyo mwita dikteta sasahivi magufuli na baadh ya watu kushabikia Kama walibya walivyo kua wanashabikia kwa gadaf ipo siku watu wa mataifa jiran watakua Wana tuona watanzania Kama tunavyo waona wa Libya sasaiv

Najua mtatukana Ila ukwel ndio huo hato tokea mtu Safi TANZANIA ambae atakua Sio chadema kwenu wote watakao kuja ni wabaya na madikteta alafu mnaekt kuwalaum wazungu wakat nyie ndio pu
 
Hajawa brainwashed,,anatumia ubongo wake independently bila kusukumwa na covert media agendas...I can say watu type yako ndio mko brainwashed...
Easy bro! Umekuja katikati ya safari before that he was validating his death sababu ana criminal records which is not right.

Now back to you tatizo lenu you know nothing about Blacks history in America. Blacks hawapo hivyo walivyo sababu wana access to equal opportunities katika social welfare kama wenzao, kupata alichokipata mweupe kwao ni double effort. Let me give an example katika elimu ambayo ndio tunaamini inaweza kumuokoa mtu mweusi to become a better member of the society na kuachana na uhalifu ila angalia hii report ndio ujue root ya hili tatizo la uhalifu kwa watu weusi instead ya kuwaona ni wahalifu tu.
My brother don't say hakuna racism sababu tu you didn't experience, it exists. Ukisoma hizo attachments nahisi unaweza kupata mwanga kuhusu uhalisia wa Wamerekani weusi
Screenshot_2020-06-13-14-58-02.png

Screenshot_2020-06-13-14-59-10.png
Screenshot_2020-06-13-14-59-17.png
 
Yaani mtu akiwa na mawazo tofauti na yako ni Racist?..Hivi watu sku izi mmekuaje,Hamuwezi kujenga hoja bila kuita watu majina ya ajabu??..

Wewe si ndio wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa, sasa hapo nani wakumuelimisha mwenzie! Ubaguzi wa rangi, udini na ukabila umewakaa kwenye vichwa vyenu..yani badala kumuongoza mwenzio kwenye njia, wewe ndio unazidi kumpoteza. Bado tunasafari ndefu sana
 
History of Black Americans wakiielewa watajua mambo mengi sana behind the scenes. Huwa wanaishia kuona kwenye Hollywood tu halafu wanatoa conclusion black people love crimes
 
Wewe si ndio wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa, sasa hapo nani wakumuelimisha mwenzie! Ubaguzi wa rangi, udini na ukabila umewakaa kwenye vichwa vyenu..yani badala kumuongoza mwenzio kwenye njia, wewe ndio unazidi kumpoteza. Bado tunasafari ndefu sana
Bado hujajibu swali,unaendelea kuita majina ya ajabu ajabu tu...
 
Wewe unaonyesha ni mbaguzi wa rangi na ni mdini vile vile, hata kifo chake it shows hakijakugusa kisa tu mwarabu/muislamu.. Watu wa sampuli kama yako mnapaswa kukatwa vichwa hamfai kuishi duniani ili iwe fundisho kwa wengine

Nachukia sana ubaguzi wa aina yoyote,
Hivi mwalimu asingekuwa mtaalamu akawanasa hao mamluki wangefanikiwa wangeua watanzania wangapi?
 
Kwenye hili nimeungana na wewe
kuna mmoja wenu alieguswa na vifo vinavyotokea Libya, Congo, Iraq, Mali, Syria, Yemen, Msumbiji

Tukipinga haya kuna watu wanasema ama wanatuita magaidi mujahedeen

Ila unafiq mbaya sana aseee.
 
Africans Americans wengi hawajui kusoma na kuandika. Wengi wanajihusisha na uhalifu
 
Africans Americans wengi hawajui kusoma na kuandika. Wengi wanajihusisha na uhalifu
Kuhusu elimu umegusa point nzuri sana ambayo imewafanya wawe hivi walivyo na kuona uhalifu ndio short cut ya maisha. Ushawahi kujiuliza kwa nini?
Au ushajiuliza kwa ni nini Manzese, Tandale na Tandika kuna mambo mengi mengi ya vibaka, uhalifu na madanguro?
 
kuna mmoja wenu alieguswa na vifo vinavyotokea Libya, Congo, Iraq, Mali, Syria, Yemen, Msumbiji

Tukipinga haya kuna watu wanasema ama wanatuita magaidi mujahedeen

Ila unafiq mbaya sana aseee.
Watu hawapingi kwa kutetea haki wanaandamana kwa kutafuta kiki sababu marekani maarufu bc
 
Floyd kauawa imekuwa ishu kubwa na kupelekea baadhi ya nchi za kiafrika kuandamana, ni ulimbukeni tu!

Ninyi mnaocomment humu na kupost mada zenu kuhusu kusikitishwa alichofanyiwa Floyd je, mlikuwa wapi Mzee wetu na kiongozi wetu wa Afrika Marehemu Gadafi siku anauawa dhidi ya Mjaluo na Mwafrika mwenzetu OBAMA akishirikiana na ndugu zake mabeberu weusi na weupe?

Je, kuna yeyote humu kati yenu ama viongozi wa afrika waliothubutu kupaza sauti na kutaka watu waandamane kwa tukio la mzee wetu! kiongozi alie na huruma na imani kwa Waafrika wenzie amedhalilishwa kiasi hicho na amekosa wa kumtetea nanyi mnaangalia tu!!! Huu ni ubaguzi ulio wazi kabisa, na Mungu anawaona!
View attachment 1476121View attachment 1476122
Yote hayo mmeyapotezea [emoji1540]

Waafrika tuna matatizo sana sana sio siri, Ndugu yetu kauawa tumetulia kimyaa kama hakujatokea chochote, Na wengine humu humu wafuasi wa mabeberu wakimsema na kumkashifu vibaya huyu mzee wetu na kuungana kwa pamoja na hao mabeberu wasiotutakia mazuri..Anaweza kuchukiwa kwa mengi, lakini ukweli lazima usemwe kwamba huyu ni kiongozi aliyesimama imara kupinga ukoloni wa aina yoyote na wala asiyeogopa kusema lolote dhidi ya wakoloni.

Floyd kauawa, Mabeberu/Black American's wameandamana kwa pamoja na kupora mali za watu, Ujerumani na Kenya pia wameandamana sababu tu ya Floyd..

Okay, mbali na Floyd kuuawa..je kuna mmoja wenu alieguswa na vifo vinavyotokea Libya, Congo, Iraq, Mali, Syria, Yemen, Msumbiji na Palestina? watu wasio na hatia wanauawa dhidi ya hao hao mabeberu mmetulia kimyaa, Palestina kila siku watoto, wajane, wazee wanauawa kikatili dhidi ya wayahudi na yote haya wanayaona hawa mabeberu, Black American's + All Africans lakini hawakuwahi kupaza sauti, wala kuandamana, badala yake wanafurahia na kuchekelea vifo vinavyotokea katika nchi hizo..Inasikitisha sana sana.

Unafiki umetujaa sana waafrika, na hasa hapa bongo kwa kujipendekeza na kujifanya watu wema na wenye huruma hatujambo!

Ni hayo tu!
Mimi naomba kupishana nawe kidogo kuhusu Gadhafi.
1. Kwanza aliwahi kuungana na Amin kutupiga. Kwa hilo simsanehi labda kama ulikuwa hujazaliwa .

2. Pili huwezi kuongoza nchi ya watu wenye akili za kawaida tu , zaidi ya miaka 42 na bado ukaplania mwanano akurithi. Halafu watu wasikuundie zengwe. Kung'ang'ania kwake madarakani kulimletea matatizo.

3. Gadhafi alikuwa dictator kama dictator wengine. Ameua kila aliyekuwa na mawazo tofauti naye ndani ya Libya kipindi hicho.

Nikubali pia kuwa alikuwa na moyo wa kujitolea hasa katika kueneza uislamu nothing else. Kama hapa kwetu ni kueneza misikiti.
 
Nilimskia JULIUS Malema akiwachana waSOUTH kuhusu unafki
 
Back
Top Bottom