That's a very provacative speech from President P.W. Botha. Good post!!
Bora Mkoloni Mweupe
I am not lying i did lie one time a while ago thinking nikisema natoka south Africa nita-make sense..then i came to realize kuwa naishushia hadhi nchi yangu kwa kikana kama Yuda..I am proud of my country and i am proud to say it loud I AM FROM TZ babe...
good point Pookie!...
Wanahofia INS!
Wanahofia INS!
See, you're smart....
Yeah after a meeting with this white man and ask me where i am from nikasema south africa where isn south pretoria then i was done nikashindwa kuendelea ...after few conversation i cme to find out kuwa mzungu kumbe ameishi Dar-es-salaam i felt really bad kuwa i lied na kuikana nchi yangu that i when i realize how stupid i was....Maana nilikuwa nafuata mkumbo...thinking south africa is a smart move.
Ahahahahahaha...that was funny! Eti after Pretoria you were done...you didn't know anything else. You know, honesty is undoubtedly the best policy....no bora kuwa mkweli tu maana mwenye kukudharau atakaudhara na mwenyen kukuheshimu atakuheshimu lakini conscience yako haita feel guilty
Y SA? nyie watu mnachekesha... I wud never lie about my nationality, or even change it. Tanzania runs in my blood.
Mi nilishazama mitaa ya kati hapo Yale, baada ya gugu gaga, yadi yada and this how Imma do you mama, nikawa tingas, nikaitiwa cab , nikaambiwa dereva mbongo lakini mamaa (mbongo) akasema wabongo wa Mbingu Mpya wambeya sana, especially wakijua wanaweza kuongea Kiswahili na wewe, kwa hiyo niuchune tu.
Kama kweli bwana, cabbie kufika akataka kujua nimetokea wapi.
Nikaua story na kumnyonga twiga bila kamba wala mzozo, nikaona kumbe lomolomo nyingine Kiswazi tu, ukileta ngeli washashi wanagwaya.
Ndiyo siku pekee niliyobadili asili, sehemu nyingine zote nadunda na kuanza intro pengine hata bila kuulizwa utafikiri ninalipwa na Tanzania Tourist Board.