Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,329
- 115,336
Kingine kama kipi Mkuu sababu kila tunachokifanya ndio maisha yenyewe ujue.Maisha kama magumu achana nayo fanya kitu kingine
Kingine kama kipi Mkuu sababu kila tunachokifanya ndio maisha yenyewe ujue.Maisha kama magumu achana nayo fanya kitu kingine
Ujue mdude kapatikana lkn akiwa ktk hali mbayaKingine kama kipi Mkuu sababu kila tunachokifanya ndio maisha yenyewe ujue.
Ujue mdude kapatikana lkn akiwa ktk hali mbaya
Mbaya zaidi Rc wa mkoa na mkuu wa mkoa wameenda kumhoji awape maelezo akiwa katika hali mbaya
Mbaya wako aweza kubadilika na kuwa rafiki yako
Yako yamekushinda kazi kushauri wenzakoYako ni yako mali ya mwenzio sio yako
Yako yamekushinda kazi kushauri wenzako
manufaa kwenye nchi ya bwana juha ni ndotoWenzako watakuacha mbali usiposikiliza ushauri wenye manufaa
manufaa kwenye nchi ya bwana juha ni ndoto
Nzuri kama ilivyo asali mbichiNdoto za mcshane sio nziri
Mbichi hizi sizitaki tenaNzuri kama ilivyo asali mbichi
Tena zimebaki siku chache itafahamika...Mbichi hizi sizitaki tena
Itafahamika tu kama kuna mtu nyuma ya hili sakata!Tena zimebaki siku chache itafahamika...
Itafahamika tu kama kuna mtu nyuma ya hili sakata!
Kubwa lao lipo mbaroni na wengine wanasakwa !!hilo ndo swali kubwa
Wanasakwa wasiojulikana watawapata kweli!Kubwa lao lipo mbaroni na wengine wanasakwa !!
Kweli wakiwa sirious watawapata japo wananchi tunaona ni changa la machoWanasakwa wasiojulikana watawapata kweli!
Macho ya kinyonga huangalia mbele na nyumaKweli wakiwa sirious watawapata japo wananchi tunaona ni changa la macho
Nyuma ya bashite inasemekana yupo jiweMacho ya kinyonga huangalia mbele na nyuma