Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,955
- 122,238
Tutachati baadae sasa hivi natafuta usafiri hapa mjiniNanii kwanza yaani waite kwanza utawapata tu.
Tutachati baadae sasa hivi natafuta usafiri hapa mjiniNanii kwanza yaani waite kwanza utawapata tu.
Mjini shuleTutachati baadae sasa hivi natafuta usafiri hapa mjini
Mjini hapa, tayari wameanza kuja.Tutachati baadae sasa hivi natafuta usafiri hapa mjini
Kujaa na kupwa kwa maji baharini ni matokeo ya mzunguko wa Dunia katika mhimili wakeMjini hapa, tayari wameanza kuja.
Wake zangu hawafai nitawatimua woteKujaa na kupwa kwa maji baharini ni matokeo ya mzunguko wa Dunia katika mhimili wake
Wote uliwaoa kwa mapenzi yako hauna budi kuwatimizia kila mahitajio yao
Wote uwatimue halafu....
Halafu nashindwa kumuelewa, kwa nini achukie wake zake!Wote uwatimue halafu....
Wake zake. Tena wote anawachukia. Sijui sababu ni nini?Halafu nashindwa kumuelewa, kwa nini achukie wake zake!
Zake pesa anakula mwenyewe sitaki usumbufuHalafu nashindwa kumuelewa, kwa nini achukie wake zake!
Usumbufu nilioupata leo kwenye mwendokasi, sina hamu hata chembe
Chembe tuu nichelewe kikao kwasabu ya mwendokasiUsumbufu nilioupata leo kwenye mwendokasi, sina hamu hata chembe
Mwendokasi sio mchezo...Chembe tuu nichelewe kikao kwasabu ya mwendokasi
Mchezo mzuri huchezwa na wengiMwendokasi sio mchezo...
Wengi wetu tuna post kwa kutofautianaMchezo mzuri huchezwa na wengi
Wengi wapeMchezo mzuri huchezwa na wengi
Kutofautiana ni budi kwasababu mkituma wengi kwa wakati mmoja zinakuwa kwenye mstari na kuingia kwa kuanza na iliyoanza kutumwa.Wengi wetu tuna post kwa kutofautiana
Kutumwa ni jambo ambalo mara nyingi huchosha sana watotoKutofautiana ni budi kwasababu mkituma wengi kwa wakati mmoja zinakuwa kwenye mstari na kuingia kwa kuanza na iliyoanza kutumwa.
Wap naweza kupata smart TV curved HD?