Wa mwisho ndiyo mshindi

hizi nyakati si nzuri binadamu tunaishi kwa kujisahau kana kwamba hii dunia tutaishi milele
 
Inaboa sana unagundua kuwa unayempenda hakupendi wewe
 
Inazingua ni lugha zilizomo kwnye kamusi ya mtaani
 
Mimi ndo wa mwisho kuzaliwa katika familia yetu,kama kuna mwingne aje tuungane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…