🥰🥰Sawa bebe😁
Poker😁,upo shamba?MawardatDellapina njoo nikupe penzi moto moto kutoka hapa namtumbo.
Shamba?hebu tupia pichaPoker😁,upo shamba?
Picha ya mazao?Shamba?hebu tupia picha
Mazao ya mimea ipiPicha ya mazao?
Kahawa.Mazao ya mimea ipi
Umeharibu masharti ya uzi 😃Kahawa.
Una masharti?Umeharibu masharti ya uzi 😃
Ndio, unatakiwa uanze sentensi na neno la mwisho la comment ya mwisho ulioikutaUna masharti?
Hata sijui,Poker kanileta huku,hata juzi sijasoma.Ndio, unatakiwa uanze sentensi na neno la mwisho la comment ya mwisho ulioikuta
Wacha nisome😁🚶♀️Soma masharti alafu tuendelee na uzi 😃
Bila kuchoka 💪Wacha nisome😁🚶♀️