Auibu hii ya madai ya Madaktari kutaka huduma za afya ziboreshwe lakini serikali haioni inachoona ni kile cha maslahi tu na kung'ang'ania hapo kutupotosha, sijui CCM ikiangushwa viongozi watajificha wapi.
damu salama inahitajika jaman kwa ndugu zetu wagonjwa wenye upungufu wa damu.usisahau kuchangia hata kama hakuna madaktari wa kuwahudumia lakini sisi tuwe tumewajibika kivyetu.
damu salama inahitajika jaman kwa ndugu zetu wagonjwa wenye upungufu wa damu.usisahau kuchangia hata kama hakuna madaktari wa kuwahudumia lakini sisi tuwe tumewajibika kivyetu.
kivyetu vyetu ni sehemu ya kibwagizo kinachosikika kwenye nyimbo za msanii mmoja aliewahi kutikisa bongo flava kwa jina la Inspector Haroun, ila kwa sasa amefulia