Mwenyewe atatuongoza, hilo halina shaka[emoji847]Mbele tunasonga kama injili.
I was passing through your past comments😘
"Wakati tulionao si wa kuomboleza tena,
Siku za kilio zimepita zimekwisha aahh,
Sasa twasonga tena
mbele kwa kazi yake Bwana,
Matukio kamwe hayatatukatisha tamaa ah,
Na tutaweza yote,
kwa jina Lake mwenye nguvu
Na kwa mkono wake Yeye
Mwenyewe atatuongoza"
Kweli kabisa Mungu ndie Mfariji mkuuMwenyewe atatuongoza, hilo halina shaka
Twatiwa nguvu kwa neno lake bwana Mungu
Lakini katika mambo haya yote tumeshinda na zaidi ya kushinda....
____________________________
Kiukweli I got extremely saddened by the tragedy
My sorrows couldn't be helped by the fact that you're among the excellent individuals that I regard very high here in the jamvi.
Mungu anendelee kukupa faraja ya kweli.
Mfariji mkuu pekeyake.Kweli kabisa Mungu ndie Mfariji mkuu
Tena Michelle98 asitufanye tumesahau kwamba atacheza na Dolla_Mbili siku ya tukioMfariji mkuu pekeyake.
"Baada ya siku hizo hata kupigwa vikali
Kama alivyoahidi nguvu mpya ametupatia tena"
Sawia tupange kamati ya sherehe.Tena Michelle98 asitufanye tumesahau kwamba atacheza na Dolla_Mbili siku ya tukio
Kumbukumbu zetu zipo sawia
Sherehe ya wapendanaoSawia tupange kamati ya sherehe.
Wapendanao bongo?Sherehe ya wapendanao
Wapendanao tunajijua[emoji23]Sherehe ya wapendanao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapendanao bongo?
Walisikika vijana wa hovyo hovyo akina Bia yetu[emoji57]
Jamani jamani![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bia yetu nimemmiss jamani[emoji23][emoji23]
Mkulima?[emoji23]Jamani jamani!
Aliendaga wapi yule mkulima?
Mwaka mpya utakua mwema sanaMkulima?[emoji23]
Baba bado nakupenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sitaki uende segerea,nahitaji tusherehekee pamoja mwaka mpya.
Mwaka mpya utakua mwema sana
Can I get AMEN
Halleluyah AmenAmen hallelujah
Mzuri sana huu wimbo kwa hakikaHalleluyah Amen
Ni wimbo mzuri sana.
Yamepangika haswaaa Wala si utani.!Hakika mashairi yake yamepangika
Si utani christmas ilikuwa nzuri.Yamepangika haswaaa Wala si utani.!
Nzuri kama..Si utani christmas ilikuwa nzuri.