Huduma bora kwa wajawazito ni kitu cha kupigania.
Ngono zembe ndio chanzo cha magonjwa ya zinaa
Mswaki wenye dawa ni muhimu sana katika usafi wa kinywaKweli ujinga kunywa chai baada ya kupiga mswaki
word ni lugha ya kiingereza
Kiingereza nakipenda japokuwa chenyewe hakinipendi
Hakinipendi sikubali mpaka nikijuwe
Hawa ndo alimshawishi adam nae akala tunda la mti wa kati katiNikijuwe?!Adam ndo alimjua mkewe Hawa
STDs ndio nini??