G gilaibomba JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 352 Reaction score 92 Jul 21, 2015 #6,361 Na 1×3 ni sawa na 3×1
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,832 Reaction score 15,032 Jul 21, 2015 #6,362 gilaibomba said: Na 1×3 ni sawa na 3×1 Click to expand... 1-unajua sheria za mchezo huu?? 2-hiyo hesabu ndo umeijua leo
gilaibomba said: Na 1×3 ni sawa na 3×1 Click to expand... 1-unajua sheria za mchezo huu?? 2-hiyo hesabu ndo umeijua leo
G gilaibomba JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 352 Reaction score 92 Jul 21, 2015 #6,363 Kaboom said: 1-unajua sheria za mchezo huu?? 2-hiyo hesabu ndo umeijua leo Click to expand... 1:Hapana 2:Ndiyo nimejuwa leo Baada ya hayo nisaidie basi
Kaboom said: 1-unajua sheria za mchezo huu?? 2-hiyo hesabu ndo umeijua leo Click to expand... 1:Hapana 2:Ndiyo nimejuwa leo Baada ya hayo nisaidie basi
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,832 Reaction score 15,032 Jul 21, 2015 #6,364 gilaibomba said: 1:Hapana 2:Ndiyo nimejuwa leo Baada ya hayo nisaidie basi Click to expand... Basi rudi kwenye post ya kwanza usome maelezo
gilaibomba said: 1:Hapana 2:Ndiyo nimejuwa leo Baada ya hayo nisaidie basi Click to expand... Basi rudi kwenye post ya kwanza usome maelezo
Mmanu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2015 Posts 2,039 Reaction score 1,296 Jul 21, 2015 #6,365 Maelezo nadhani yanaeleweka vizuri sana
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,832 Reaction score 15,032 Jul 21, 2015 #6,366 Mmanu said: Maelezo nadhani yanaeleweka vizuri sana Click to expand... Sana tu..naamini atakuwa ameelewa
Mmanu said: Maelezo nadhani yanaeleweka vizuri sana Click to expand... Sana tu..naamini atakuwa ameelewa
G gilaibomba JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 352 Reaction score 92 Jul 21, 2015 #6,367 Nimekuelewa
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 Jul 21, 2015 #6,368 Nimekuelewa? Gilaibomba soma tena mwanzo wa thread!
b5-click JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,194 Reaction score 2,114 Jul 21, 2015 #6,369 Mwana said: Nimekuelewa? Gilaibomba soma tena mwanzo wa thread! Click to expand... Thread hii mshindi ni Mwana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwana said: Nimekuelewa? Gilaibomba soma tena mwanzo wa thread! Click to expand... Thread hii mshindi ni Mwana
kidaganda JF-Expert Member Joined Aug 26, 2013 Posts 2,997 Reaction score 2,577 Jul 21, 2015 #6,370 b5-click said: Thread hii mshindi ni Mwana Click to expand... Mwana ni nyimbo ya ovyo tangu nianze kusikiza music Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
b5-click said: Thread hii mshindi ni Mwana Click to expand... Mwana ni nyimbo ya ovyo tangu nianze kusikiza music
I Iana Member Joined Jan 17, 2015 Posts 47 Reaction score 3 Jul 21, 2015 #6,371 Thread kitu gani? Wa mwisho ndo mshindi. Nimeshinda mimi
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,739 Reaction score 76,374 Jul 21, 2015 #6,372 Mimi ndie bwana wetu, atakeendeleza mke wangu
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 Jul 22, 2015 #6,373 Wangu anajifahamu, la muhimu mimi ndio mshindi.
Mmanu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2015 Posts 2,039 Reaction score 1,296 Jul 22, 2015 #6,374 Mshindi hatopatikana kwa kubet
b5-click JF-Expert Member Joined Mar 21, 2012 Posts 2,194 Reaction score 2,114 Jul 22, 2015 #6,375 Kubet ili iweje!? Mshindi ni Mwana. Najifahamu malkia wangu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ALU255 JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 2,089 Reaction score 2,126 Jul 22, 2015 #6,376 wangu ni nyimbo ya jide alieimba na mr.blue
G gilaibomba JF-Expert Member Joined Jun 11, 2015 Posts 352 Reaction score 92 Jul 22, 2015 #6,377 Mr.Blue mtamkumbuka jinsi alivyovuma katika tasnia ya uimbaji miaka ya nyuma
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,832 Reaction score 15,032 Jul 22, 2015 #6,378 Nyuma ya Lowassa kuna kundi kubwa la watu wasiojielewa
Phoenix JF-Expert Member Joined Sep 6, 2012 Posts 10,592 Reaction score 15,488 Jul 23, 2015 #6,379 Kujielewa ni somo pana, na mwalimimu wake alikufa.
Siafu na Manga JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 2,894 Reaction score 8,975 Jul 23, 2015 #6,380 Alikufa kwa nini vile????