mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,052
- 1,702
Kuwajibika hakukwepekiUbishi ni wao hawataki kuwajibika
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Kuwajibika hakukwepekiUbishi ni wao hawataki kuwajibika
Hakukwepeki kwa waliyo nazo na wengine hukopa madeni kwa ajili ya matunzo maridhawa..
Matunzo maridhawa yanapaswa kufanywa kwa familiaHakukwepeki kwa waliyo nazo na wengine hukopa madeni kwa ajili ya matunzo maridhawa..
Familia yenye kuheshimika inapaswa kuwajali majirani...
Majirani Wana mchango mkubwa katika maisha yetuFamilia yenye kuheshimika inapaswa kuwajali majirani...
Mola wetu mlezi tukinge na hili gonjwa linalotikisa dunia nakusudia coronaYetu yanatuendea kwa uwezo wa mola
Corona ni janga la duniaMola wetu mlezi tukinge na hili gonjwa linalotikisa dunia nakusudia corona
Dunia ni kitu duni ukiibeba mgongoni yenyewe ina kubwaga pwaa !!Corona ni janga la dunia
Pwaa ni mlio wa nini?Dunia ni kitu duni ukiibeba mgongoni yenyewe ina kubwaga pwaa !!
Wa nini unamjali na kumfuata fuata atavimba kichwa..Pwaa ni mlio wa nini?
Pumzika na utulie wakuogeshe ukurutu !!Kizhwa kama pumbu
Ukurutu alionao hauwezi kutoka kirahisi hivyo mtafutie tiba mbadalaPumzika na utulie wakuogeshe ukurutu !!
Mbadala wa, wanawake ni kutojilinganisha na wanaumeUkurutu alionao hauwezi kutoka kirahisi hivyo mtafutie tiba mbadala
Wanaume tuache kubweteka turudi ktk msitari..Mbadala wa, wanawake ni kutojilinganisha na wanaume
Mstari ni mwendelezo wa mchoro ulionyooka.Wanaume tuache kubweteka turudi ktk msitari..
Ulìonyooka kama usawa wa equatorMstari ni mwendelezo wa mchoro ulionyooka.
Equator ndio niniUlìonyooka kama usawa wa equator
Nini umekusudia kuuliza au kuita jina la demu wa msanii