fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,257
- 3,882
Basi za mikoni ni nyeupe Idd hiiTaharuki zimesababishwa na nini? tujuze basi
Basi za mikoni ni nyeupe Idd hiiTaharuki zimesababishwa na nini? tujuze basi
Basi za mikoni ni nyeupe Idd hii
Poa km una ndururu kwenye wallet tofauti na hapo ni machunguhii idd imekaa sio poa
Poa km una ndururu kwenye wallet tofauti na hapo ni machungu
Machunhu hayawezi kukosekana hasa ukiwa huna pesa
Mwanamke pamoja na mapungufu yake kama mwana Adam hana budi kuheshimikapesa na mwana haram sana inanunua mpak mwanamke
Kuheshimika mtaani NI hadhi iliyotukuka !!Mwanamke pamoja na mapungufu yake kama mwana Adam hana budi kuheshimika
Mshindi gani una avatar ya ko to to cha mavufuliHii siredi ifungwe,maana tayari mu ndo mshindi
Kwani hili shindano linaangalia avatar za Watu?Mshindi gani una avatar ya ko to to cha mavufuli
Watu wengine bwana, Ndumbula Ndema mbona hufuati taratibu ya mchezo unaenda kivyakovyako!Kwani hili shindano linaangalia avatar za Watu?
kivyakovyako tu ndo stail wameamua ili kuiua threadWatu wengine bwana, Ndumbula Ndema mbona hufuati taratibu ya mchezo unaenda kivyakovyako!
Thread ipi?kivyakovyako tu ndo stail wameamua ili kuiua thread
Ipi? Hiyo?
Hiyo ni yangu...
Ninayo hata mimiYangu ninayo
Mimi ndio mshindi wa hii threadNinayo hata mimi
Thread inayodumu kwa mwendelezo...Mimi ndio mshindi wa hii thread
Mwendelezo huu ni lini utaisha ?Thread inayodumu kwa mwendelezo...