mtebetini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,924
- 2,035
Mtama ni zao linalolimwa kwa wingi mkoa wa DodomaGhala iliyojaa panya hapatabakia uwele wa hata mtama !!
Mtama ni zao linalolimwa kwa wingi mkoa wa DodomaGhala iliyojaa panya hapatabakia uwele wa hata mtama !!
Dodoma ndiyo centro ya Tanzania eenh, Hivyo wagogo ndiyo origino asili.....Mtama ni zao linalolimwa kwa wingi mkoa wa Dodoma
Dodoma ni kwetu ila pako nyuma sana kimaendeleoMtama ni zao linalolimwa kwa wingi mkoa wa Dodoma
Kimaendeleo siyo hoja cha muhimu mustakabali.....Dodoma ni kwetu ila pako nyuma sana kimaendeleo
Bidii ya pamoja ndiyo njia ya kujikomboa....Maendeleo yatakuja kama tukifanya kazi kwa bidii
Kijikomboa afrika yote imekombolewa tatizo ni kitu gani mpaka hatuendeleiBidii ya pamoja ndiyo njia ya kujikomboa....
Kijikomboa afrika yote imekombolewa tatizo ni kitu gani mpaka hatuendelei
Hatua moja mbili kila taifa na kila jamii linapiga mbele LAKINI hatua kumi linarudi nyuma.....Hatuendelei kwenye baadhi ya mambo, lakini yako mambo tumepiga sana hatua...
Nyuma kurudi ndiyo kutokuendelea inatakiwa tusirudi tulikotokaHatua moja mbili kila taifa na kila jamii linapiga mbele LAKINI hatua kumi linarudi nyuma.....
Tulikotoka tutawachia wale wapinzani walalamishi sie tunasonga mbele kuchanuwa na kuvumbua horizon !!Nyuma kurudi ndiyo kutokuendelea inatakiwa tusirudi tulikotoka
Tulikotoka kunatufanya tukumbuke tuliyoyapitia na kufuta machozi yaliyojaa simanziNyuma kurudi ndiyo kutokuendelea inatakiwa tusirudi tulikotoka
Simanzi kwa mwanadamu ni sehemu ya maumbile aliyoumbiwa na Mwenyezi MunguTulikotoka kunatufanya tukumbuke tuliyoyapitia na kufuta machozi yaliyojaa simanzi
MwenyeEzzi Mungu katutandazia ardhi na mbingu zake tuishi kwa marefu na mapana hapendi tulalamike.....Simanzi kwa mwanadamu ni sehemu ya maumbile aliyoumbiwa na Mwenyezi Mungu
Tulalamike sukari... sukari....sukari tunaacha mambo ya msingi yanaendelea kutafuna taifa wakati huu uhaba wa sukari unakuzwa na vyombo vya habari tuuMwenyeEzzi Mungu katutandazia ardhi na mbingu zake tuishi kwa marefu na mapana hapendi tulalamike.....
Ubongo wako nadhani ni mgando ndio maana hata umeshindwa kuanzia neno tuu katika coment yako umeanza na "habari"pole mkuu huu mchezo hauhitaji hasira.. punguza ashki majinuni basiiHabari tuu!!.... we ndio hujitambui kwa mahaba ya kisiasa..angalia unavyo tepweta eti sukari sio jambo la maana! Tumia ubongo
Basii msipende kulumbana wadauUbongo wako nadhani ni mgando ndio maana hata umeshindwa kuanzia neno tuu katika coment yako umeanza na "habari"pole mkuu huu mchezo hauhitaji hasira.. punguza ashki majinuni basii
Wadau mbona ghafla mmepandisha munkarBasii msipende kulumbana wadau
Munkari ikizidi sio nzuri kabisaWadau mbona ghafla mmepandisha munkar