life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Gani kitu chanichelewesha naitwa kulala jamani Alamsiki...Anahimiza ukafanye kitu gani
Gani kitu chanichelewesha naitwa kulala jamani Alamsiki...Anahimiza ukafanye kitu gani
Alamski leo mkuu life is good kaishia hp0Gani kitu chanichelewesha naitwa kulala jamani Alamsiki...
Happ ndipo nawatakia usingizi mnono na njozi taamu...Alamski leo mkuu life is good kaishia hp0
•Faith •Hope •Charity•
izunguke kutoka wapi kwenda wap
Wapi, mkuu kweli hujui? Au hukusoma "jogoo la afya"?izunguke kutoka wapi kwenda wap
Afya ya jogoo?
jogoo ni kuku dumeAfya ya jogoo?
Dume la hajajogoo ni kuku dume
Choo cha mwendokasihaja anayoshikwa nayo Maua Sama, mana anasema nikikuona nashikwa na haja huyo mtu anatakiwa atembee na choo
mwendokasi unaboa msongamano wa kutosha ndani ya bus hakuna hata hewaChoo cha mwendokasi
hewa ya oksijeni ndio tumaini la walio haimwendokasi unaboa msongamano wa kutosha ndani ya bus hakuna hata hewa
zamani wewe ulikuwa hujazaliwa badoWaungwana ni msemo Wa ki zamani
Bado muda kidogo tu tushudie game kali AS Vita vs Simbazamani wewe ulikuwa hujazaliwa bado
Mchezo utakua mkali simba ikitegemea ushindi, lakini haiwezi fanikiwa kuibuka kidedea. Muda chuo ntakua namsikiliza POSTMALONE, wewe je?