God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 716
- 1,357
Panya ni kitoweo kwa watani zangu wa uwanda wa chini kusini.Mrefu lakini kashindwa kufikia kwenye paa ili akwapue pesa iliyochukuliwa na panya
Panya ni kitoweo kwa watani zangu wa uwanda wa chini kusini.Mrefu lakini kashindwa kufikia kwenye paa ili akwapue pesa iliyochukuliwa na panya
Panya ni kitoweo kwa watani zangu wa uwanda wa chini kusini.
Baridi la kwetu Njombe nimelimikumbuka sana, hususani miezi hii ya katikati.Kusini nyanda za juu, tabia ya nchi ni ya baridi
Katikati ya safari yetu tuliingiwa na mkosi wa sintofahamu baada ya kupoteza mwelekeo wetuBaridi la kwetu Njombe nimelimikumbuka sana, hususani miezi hii ya katikati.
Wetu wazazi walijawa na taharuki zaidi baada ya gari kupotezea mwelekeo, hasa walipokumbuka kwenye gari kuna watoto wao wadogo.Katikati ya safari yetu tuliingiwa na mkosi wa sintofahamu baada ya kupoteza mwelekeo wetu
Wadogo zetu wapo kwenye wakati mgumu sana kwenye elimu yaoWetu wazazi walijawa na taharuki zaidi baada ya gari kupotezea mwelekeo, hasa walipokumbuka kwenye gari kuna watoto wao wadogo.
Makuu yanawenyewe, hulka zao ni ulafi na uroho......Yao walikula yetu waache wasilete makuu
Uroho mwezi wa ramadhani umekatazwaMakuu yanawenyewe, hulka zao ni ulafi na uroho......
Umekatazwa kushiriki na kuchanganya madawa pasipo na maelezo maalum....Uroho mwezi wa ramadhani umekatazwa
Maaluma hasa kwa mwezi huu MtukufuUmekatazwa kushiriki na kuchanganya madawa pasipo na maelezo maalum....
Mtukufu? Fafanua vizuriMaaluma hasa kwa mwezi huu Mtukufu
Vizuri kushirikisha wenzio kwenye kila jambo lenye manufaa.Mtukufu? Fafanua vizuri
Manufaa ya kubaki njia kuu ni mengi kuliko kuhangaika na michepuko.Vizuri kushirikisha wenzio kwenye kila jambo lenye manufaa.
Hasara tu pale unapopanda mazao halafu yakapelekwa na mafurikoMichepuko siku zote ni hasara tu
Mafuriko yanatesa sana sehemu za tambarareHasara tu pale unapopanda mazao halafu yakapelekwa na mafuriko
Mafuriko ni kitendo cha maji kujaa kupita kiasi baada ya mvua kunyesha!Hasara tu pale unapopanda mazao halafu yakapelekwa na mafuriko