Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

yap mkuu!nilikaa lumumba east!kitende nadhani kilikuja baada ya si kuondoka au kilipewa jina hilo baadaye!

Kitende kilianza baada ya ce kuingia miaka ya 2001-2003 na kilitwa ivo baada ya 2nd masta kuwa na mapnz nacho na kuwa anaenda nacho kwake na wengine kudai alikua akikitumia mpaka nyumban kwake!
 
Hakika MKWAWA COMPLEX ni sehemu ya kukumbukwa sana na watu wengi waliopitia pale,hasa wa miaka ile huduma ya maji ilikuwa mbovu mpaka kupelekea watu kwenda kisimani kule karibu na dispensary kuchota maji ya kupikia. bila hivyo chakula hamna.
 
Naikumbuka sn hiyo ishu na mie cku ile nilikuwepo mpaka kukawa na uhasama wa kishule na tshet zetu njano hata tukikutana mjin ni bifu tu!lzm nitakua nakufaham kwa wanaburudan wote wa miaka hiyo nilikua na wafaham,hasa OG na u R.kelly wake!

wanikumbusha mwaka huu wa OG kuna aliyefahamika kama PASTOR MBUFYE tulimuogopa sana.
 
Sijui kama wengine mlikuta mambo haya,chakula kilikuwa kinagawiwa kwa mtu aliye na foodcard.hiyo foodcard ilikuwa inatolewa kwa mtu aliyesomba maji ya kupikia ndoo kadhaa.Ole wako uende dining Hall(DH) bila foodcard halafu mlangoni ukutane na kiongozi wa DH aitwaye Mwakalindile A.K.A Never look,hapo siku hiyo itakuwa imekula kwako.Uji wenyewe ulikuwa unagawiwa saa kumi za usiku,kuna watu toka bweni la shabani Robert walikuwa mabingwa wa kuamka mapema. wakishamaliza uji jikoni ndio wanapiga kengere ya kuamsha watu waende kwenye uji.Pale wanakutana na surprise mpisha anaosha sufuria la uji.Mnakumbuka pia pale ARTIST CORNER?,pale ilikuwa mwisho wa maneno ,hasa katuni ya KAMJINGIJINGI.

Nadhani hii ilikuwa miaka ya 1993/94 walikuwepo jamaa wa CBG na PCB watalaamu wa kuwahi uji wakiwa na bukta saa 10 alfajiri
 
Nadhani hii ilikuwa miaka ya 1993/94 walikuwepo jamaa wa CBG na PCB watalaamu wa kuwahi uji wakiwa na bukta saa 10 alfajiri

Ni kweli kabisa,hawa walikuwa wanatokea SHAABAN ROBERT ukisikia kengele tu ujue uji umeisha
 
Asalaam wana JF,kwa waliosoma pale Mkwawa wakati ni CNE pls tukutanike hapa,kuna kuatafiti ninakafanya,kuanzia waliosomea PC,PM,PG,CM.CB&111A,na hasa waliosoma chini ya principal Mshana na kumalizia P.Mushi(aliyeingia na ubabe mkubwa ikiwa ni pamoja na kutumia copral punishments kwa wanaosomea ualimu!!!)lakini mwisho wake Mwenyezi Mungu alimchukua mapema tu(sio vizuri kufurahia kifo but sometimes its a good thing to happen ili normality ijirudie)karibuni mno kuanzia walioishi Maghembe hadi Shabaan Robert .
 
Back
Top Bottom