Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

Mmemsahau mama Massawe jamani ! Mama alikuwa mnoko yule. Sijui hata sasa hivi yuko wapi

aliwahi kupigwa vibao nyuma ya mabweni wakati wa msimu wa mahindi alikuwa anatoka mjini, kama mnakumbuka kulikuwa na kama mtaro hivi ulikuwa ukijulikana kama sunset beach" enzi hizo,wanafunzi walimuotea maeneo hayo..
 
mi namtafuta member ambaye tulikuwa nae enzi zile inaitwa st george and michael....!..

enzi zile za farasi na golf-coarse....!
 
Nasikia enzi hzo kulikuwa na tunnel kutoka shaban east hadi academic area
 
enzi hizo kule mtwivila kule alikuwepo mzee mmoja wa kikinga alikuwa anamiliki ardhi ya mtwivila nzima....!

that was then...!pale library pale kuna subways unapita mtambaa panya chini kwa chini unaibukia mkimbizi....!

namtafuta mzee mwenzangu huyu tuzungumze
 
mkuu papillon enzi izo umeme wooote walifanya installations zooote underground sasa walivyoondoka wazungu hawakuacha raman ikabidi installations za power zifanyike upya tena overhead
 
wale wenye kumbukumbu za vurugu za michezo ya UMISETA miaka ya 90 ebu watukumbushe maana ilikuwa ni balaa
 
Du nadhani nilikuwepo hapo around 2001-2003, i was famous in hip hop, together with George nindi. Na lose appetite nikimkumbuka Mgimwa pale lumumba east, yule ticha wa lumumba west hakuwa mnoko, all in all, mkwawa imenifikisha hapa nilipo. Makanyagio kwa paulo ndio ilikuwa kijiwe cha chai. Mnamkumbuka Nelkon? Alishaaga dunia, mangi bado yupo. PRAFF nilikwepo pale, je uwanjani watu walivyokuwa wana-'do' mnakumbuka? Tende, mgimwa, makwaya, mahenge, garigo na wengine wengi sasa ni mahedmaster. Mbao amestaaf.
 
Kuna mshkaj wa mkwawa alimwagiwa acid pale donbosco wakati wa mashindano ya michezo. Ni veta wale!
 
Naikumbuka sn hiyo ishu na mie cku ile nilikuwepo mpaka kukawa na uhasama wa kishule na tshet zetu njano hata tukikutana mjin ni bifu tu!lzm nitakua nakufaham kwa wanaburudan wote wa miaka hiyo nilikua na wafaham,hasa OG na u R.kelly wake!
 
Du nadhani nilikuwepo hapo around 2001-2003, i was famous in hip hop, together with George nindi. Na lose appetite nikimkumbuka Mgimwa pale lumumba east, yule ticha wa lumumba west hakuwa mnoko, all in all, mkwawa imenifikisha hapa nilipo. Makanyagio kwa paulo ndio ilikuwa kijiwe cha chai. Mnamkumbuka Nelkon? Alishaaga dunia, mangi bado yupo. PRAFF nilikwepo pale, je uwanjani watu walivyokuwa wana-'do' mnakumbuka? Tende, mgimwa, makwaya, mahenge, garigo na wengine wengi sasa ni mahedmaster. Mbao amestaaf.

Nakumbuka mahenge alivyokuwa anasisitiza kusoma kiitabu cha kinunda. Tende alileta kitu kinaitwa radar mkienda makanyagio kesho assembly mnaanza kutajwa. Ilikuwa hakuna kuaminiana
 
Naikumbuka sn hiyo ishu na mie cku ile nilikuwepo mpaka kukawa na uhasama wa kishule na tshet zetu njano hata tukikutana mjin ni bifu tu!lzm nitakua nakufaham kwa wanaburudan wote wa miaka hiyo nilikua na wafaham,hasa OG na u R.kelly wake!

Kama OG huyu ninaefikiria alikuwa vodacom.
 
Du nadhani nilikuwepo hapo around 2001-2003, i was famous in hip hop, together with George nindi. Na lose appetite nikimkumbuka Mgimwa pale lumumba east, yule ticha wa lumumba west hakuwa mnoko, all in all, mkwawa imenifikisha hapa nilipo. Makanyagio kwa paulo ndio ilikuwa kijiwe cha chai. Mnamkumbuka Nelkon? Alishaaga dunia, mangi bado yupo. PRAFF nilikwepo pale, je uwanjani watu walivyokuwa wana-'do' mnakumbuka? Tende, mgimwa, makwaya, mahenge, garigo na wengine wengi sasa ni mahedmaster. Mbao amestaaf.

Mkwawa kuna maeneo pale yalikuwa yanaitwa gangilonga, ukipita usiku ni minazi tu
 
Kama OG huyu ninaefikiria alikuwa vodacom.
Aisee,hawa walikuaga 2,kuna mmoja sie tulimkuta alikuaga mweusi hivi alimaliza mbele yetu,na mwingine ndio tuliingia naye yeye alikuaga mweupe na mtu wa mazoezi!
Uliemuona ni yupi?
 
Mweupe alikuwa anavaa miwani ya macho
 
enzi hizo 2nd master Ng'ui.."yah nimemuona Mbugi kwa macho yangu makanyagio"...
Wakati nasoma mimi NGUI alikuwa mwl wa kawaida tu,alikuwa anafundisha physics,sijawahi ona mwl kilaza kama ngui. muda mwingi yuko as if amekunywa pombe.Hakuwahi kusolve swali lolote akalimaliza, lazima akwame.Akikwama anasingizia kuna kitu mnahitaji kujifunza kwanza ambacho kiko topic inayofuata,ndipo mnaweza mkaelewa swali hilo. hapo nitolee.
 
wale wenye kumbukumbu za vurugu za michezo ya UMISETA miaka ya 90 ebu watukumbushe maana ilikuwa ni balaa
Nakumbuka wale watoto wa HIGHLAND SEC waliingia bifu na sisi,nakumbuka mechi moja mkwawa na highland.walitupiga bao mbili za haraka haraka,wanafunzi wa kike kila bao likiingia wanaenda kwa walimu wetu kushangilia halafu wanapandisha sketi zao wanabaki na chupi tu.sisi tulikaa kimya mpaka tuliposawazisha magoli yote na kufunga la ushindi.Hapo ndio mpira ulipoishia, maana highland wote waliwekwa kati halafu wakaanza kupokea kichapo.Ilikuwa mbaya maana watu walikuwa wanapiga kama mwizi tu ananyanyua tofali na kulishusha kichwani,lo! ilikuwa mbaya.
 
Back
Top Bottom