Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

mgimwa alikuwa anasikia tu chizenga mtundu,akawa ananitafuta sana lakini hanipati live,kuna siku alikuja bweni kapata taarifa kabisa mi nime-doji niko bweni,akachukua funguo ya bweni akaingia akafunga bweni akaja ndani,nikakurupuka nikaenda juu ya dari!akaanza kuniambia chizenga shuka tafadhali,nikapiga kimya!wakanisubiri takribani masaa 2!sikushuka kamwe!akanikosa!akaendelea kupata stori zangu za utundu,kuna siku akaniita akaniambia "chizenga haufanani kabisa na kuwa mtoto mtundu,unaonekana kijana mstaarabu,jirekebishe" amini usiamini maneno yake yalifanya kazi kuliko ningechapwa viboko 1000!nilibadilika toka sekunde ile....I am a good guy FOREVER!
 
@Chizenga,hahaha!umenichekeshaje!hapo ndio hua naamin maneno hujenga na kufunza kuliko maviboko au adhabu!
 
mgimwa alikuwa anasikia tu chizenga mtundu,akawa ananitafuta sana lakini hanipati live,kuna siku alikuja bweni kapata taarifa kabisa mi nime-doji niko bweni,akachukua funguo ya bweni akaingia akafunga bweni akaja ndani,nikakurupuka nikaenda juu ya dari!akaanza kuniambia chizenga shuka tafadhali,nikapiga kimya!wakanisubiri takribani masaa 2!sikushuka kamwe!akanikosa!akaendelea kupata stori zangu za utundu,kuna siku akaniita akaniambia "chizenga haufanani kabisa na kuwa mtoto mtundu,unaonekana kijana mstaarabu,jirekebishe" amini usiamini maneno yake yalifanya kazi kuliko ningechapwa viboko 1000!nilibadilika toka sekunde ile....I am a good guy FOREVER!

mi nadhan mgima alikuwa anawanajua wanafunzi karibu 80%,yani mimi nilikuwa na mkosi naye kila nikienda mjini lazima anikamate,ilifikia hatua alipokuwa anakaimu u-second master akanikuta nipo DH nakula lakini sikuwa nimemalizia ada (kipande system),akataka kunichapa nikamgomea live,Akaja bwenini (sheby west lower wing)akaniomba niende ofisini kwa mara ya kwanza aliniambia maneno mengi ya busara tukawa marafiki japo sikuacha kwenda mjini,alinipa ruhusa maalum ila kila jumapili..
 
2001-2003 PCB3......Tehe tehe teheeh!! Nimekumbuka hadi darasa nililosoma, ila kiboko ni kwa wale wa miaka ya 60's na 70's nadhani watakuwa na mengi sana katika kumbukumbu zao kuhusu hii shule.
 
Ticha Tilya, Bonge la ticha wa kemia, Ndiye aliyenifanya kuijua kemia theoretically and Practically
 
mgimwa alikuwa anasikia tu chizenga mtundu,akawa ananitafuta sana lakini hanipati live,kuna siku alikuja bweni kapata taarifa kabisa mi nime-doji niko bweni,akachukua funguo ya bweni akaingia akafunga bweni akaja ndani,nikakurupuka nikaenda juu ya dari!akaanza kuniambia chizenga shuka tafadhali,nikapiga kimya!wakanisubiri takribani masaa 2!sikushuka kamwe!akanikosa!akaendelea kupata stori zangu za utundu,kuna siku akaniita akaniambia "chizenga haufanani kabisa na kuwa mtoto mtundu,unaonekana kijana mstaarabu,jirekebishe" amini usiamini maneno yake yalifanya kazi kuliko ningechapwa viboko 1000!nilibadilika toka sekunde ile....I am a good guy FOREVER!
Mkuu kumbe uliish lumumba west! Uliposema kujificha darini umenikumbusha "kombolela" vp, alikuita kwa kutumia "kitende"?
 
Mmemsahau mama Massawe jamani ! Mama alikuwa mnoko yule. Sijui hata sasa hivi yuko wapi
mkuu umenikumbusha na mama Mazengo akisimama kuonge hamalizi! Mpaka anapigiwa kelele za "samaraiziiiii!" na kupigiwa makofi.
 
Yule mama alikuwa anaboa kweli, anaweza akaongea saa nzima lakini akimaliza kuongea msielewe alikuwa anasema nini. Sijui waliofundishwa nae kama walikuwa wanamuelewa.
 
Upande wa akina dada, ni wachache sana waliopitia huko na wakatoka salama bila kufanya biashara ya ngono unwillingly.
Kiukweli ile shule ilikua inabadilisha watu sana,
Wale waliokuja pale wakiwa tayari wameshazoea maisha ya mjini,shule za mchanganyiko na Boys wala hawakupata shida na wengi wetu tuliyaona maisha ni ya kawaida tu na kuyaenjoy,

Ila wale ambao hawakuwahi kuishi na boys hasa maisha ya shule na ya uhuru km ulikokuwa pale dah!wengi walichanganyikiwa yani waliharibikiwa mpaka zahma za mitungo zilikuwa zinawakumba kwa kutowajua wavulana walivo!!

Mpaka tunamaliza walishakua watu tofauti kbs tena wajanja kuliko hata wa mjini lol!
 
mkuu umenikumbusha na mama Mazengo akisimama kuonge hamalizi! Mpaka anapigiwa kelele za "samaraiziiiii!" na kupigiwa makofi.
Halafu huyu mama alikuaga haelewi hata akipigiwa makofi yeye anaendelea tu kuongea sijui alikua anafikiri watu wanafurahia!!!
 
Kiukweli ile shule ilikua inabadilisha watu sana,
Wale waliokuja pale wakiwa tayari wameshazoea maisha ya mjini,shule za mchanganyiko na Boys wala hawakupata shida na wengi wetu tuliyaona maisha ni ya kawaida tu na kuyaenjoy,

Ila wale ambao hawakuwahi kuishi na boys hasa maisha ya shule na ya uhuru km ulikokuwa pale dah!wengi walichanganyikiwa yani waliharibikiwa mpaka zahma za mitungo zilikuwa zinawakumba kwa kutowajua wavulana walivo!!

Mpaka tunamaliza walishakua watu tofauti kbs tena wajanja kuliko hata wa mjini lol!
Kweli kabisa, tuliosoma seminari tulipata taabu kweli kuzoea maisha ya pale...
 
Nikweli kbs,mie japo nilisoma shule ya mission but hm tulilua tunaishi nyumba za kota so nilikua nimeshazoea kujichanganya na watoto na majiran wa tabia mbali mbali,
Nililua na mets tulisoma naye olevel alikua mtakatifu mpaka tulijuaga angekua sister,alipofika mkwawa hahahahah!
Kila kitu kilibadilika mpaka mavazi hadi tunamaliza alishakua na bf 4 tofauti tofauti mpaka wa nje ya shule na usister ukaishia pale!
 
Back
Top Bottom