Wa Mazengo Complex tukumbushane

Wa Mazengo Complex tukumbushane

Mazengo ya jana hiyo. Ya zamani zile second master Msasa. Akina Mwl Nyanda baadaye tume ya mionzi. Mwl Matthew mhindi na Mlaponi wakali wa Biology. Former Naibu Waziri wa Elimu Bujiku na Physical Chemistry yake.
 
Unatumwa ukanunue Magere mbili na Katunzi moja dukani lol!

Halafu unaambiwa Nenda mwenge room 8up ukamwite Bansen bana... Daah
 
Marehemu Mlaponi PP, watu wakaongeza Pig Project....hahahahaaa.

Nyanda alikuwa na sauti kama Millard Ayo. Akiongea Kiswahili ovyo ila kiingereza, sauti nzuri.

Msasa na fimbo zake, See me in office after Dismisal....

Dunga na Mikwara... you will suffer the consequences. DJ Mganyizi akipewa nafasi na Kagunila Radio Service..

Metthew na Mkewe.... Mwakyembe wa Ujamaa alimtisha Methew kwa maneno Dont shake us with your TX name na Metthew akilia apewe sukari maana Mwaka alikuwa mwalimu wa duka akamjibu I Dont fear you, I can fight you.

Kiranja why you are late? Ohhh I was minusing sugar from store and weld it in porridge..... Nilikuwa natoa sukari store na kuunga uji...... gone those Msasa and Mkoba old days.

Mazengo ya jana hiyo. Ya zamani zile second master Msasa. Akina Mwl Nyanda baadaye tume ya mionzi. Mwl Matthew mhindi na Mlaponi wakali wa Biology. Former Naibu Waziri wa Elimu Bujiku na Physical Chemistry yake.
 
Wapi Ishengoma?wale Wa azimio au walosoma woodwork wanamjua,mama mwenda chemistry o level,magomola (R.I.P),Mavere(R.I.P) ,kibona,tandike,mshumbuzi,Malima mzee Wa basketball, komba,

Na mkuu Wa shule mgohamwende,
 
Jamani mnakumbuka kiingereza cha Komba? Sleeping twice on a single chaga" alikuwa anamaanisha kulala wawili kitanda kimoja!
 
Mazengo,shule yetu twaipenda Sana,twaitakia,
Baraka
Fanaka na heri
Uzima amani
.......................ongezea


Tuipende shule yetu kwa juhudi

Tuinue shule kwa manufaa mengi,twende mbele kwa pamoja, kwa umoja wetu,elimu ni mwanga.
 
Mazengo ya jana hiyo. Ya zamani zile second master Msasa. Akina Mwl Nyanda baadaye tume ya mionzi. Mwl Matthew mhindi na Mlaponi wakali wa Biology. Former Naibu Waziri wa Elimu Bujiku na Physical Chemistry yake.

Head Master Asseri na deputy wake Kirimbai.
Mr. Oisso wa Chemistry na yule Mzee Mu-Australia alikuwa akifundisha pia dini.
 
Umenikumbusha mbali sana, tulitembea kwa miguu toka msalato kurudi mazengo baada ya kuzamia mahafali.
 
Duuuh
nakumbuka kucheki "isidingo ze need" Kikuyu
Kumwagilia bustani
Kulindaa
Makofi ya mshumbusi
Naikumbuka Azimio room 3 up
Nakumbuka kudabo nyuka
Nakumbuka kufuta taree ktk meal card
namkumbuka mama Chakoo na bili yangu ya banzi aka mitaa
nakumbuka jamaa aliogelea wota rizivaa

wapi Mtangoo
wapi Mwigulu Mchemba
Wapi Salim Sekiete
wapi Abdul Mahobe
wapi Matungwa William
Wapi Nalogwa
wapi Somangiza
wapi Ibrahim Siraji
wapi Erasto Mbeya
wapi Mnaijeria
wapi Okonko
wapi Asifiwe Edward
Wapi Isaac Magobo
wapi Magong'o Mayala
wapi Chisaluni
wapi Msigala aka siga boy
wapi Haji Nura aka Nura babastazz
wapi braza Komba
wapi Masasila
wapi Ustazz Swalehe
wapi Gange
wapi Samwel Ntakamulenga
wapi Theodory
wapi Ramadhan
wapi Kyaruzi
Wapi Magadula aka Mg
wapi Ndebile Begesheni
wapi Mohamed Kisamfu
wapi dogo Makete
wapi Vyansekale Vizakumwe
wapi Mkama Magambo
wapi Edwin Kihumbe
wapi Tibiyi Washa
wapi Jovin aka waunga
wapi Mwita Marwa
wapi Misalaba
wapi Amour Abdallah aka Mullah
wapi Adam
wap Kwapakacha aka Kwapa K
wapi Justine
Wapi John Nzumbi
Duuuuuh
wana wote wa Azimio kwa baba Ishe,wana wote wa Mwongozo ,Mwenge,Muungano na Ujamaa aka wu-jamaa bila kusahau wana wa ku stay beach heshima kwenyu
 
Umenikumbusha mbali sana, tulitembea kwa miguu toka msalato kurudi mazengo baada ya kuzamia mahafali.

Discipline master mzee Katunzi..hua simsahau pamoja na kua form 6 alinila fimbo 5! Dah maisha ya mazengo ilikua nusu jela
 
Nani anakumbuka Meal cards? Kuingia bwenini thru mabomba ya chooni, sudani, kile kisima chetu maji yako wazi na tunachota ya kunywa, kile kijiji pale iringa road (Kikuyu)

Nimekumbuka far sana duh

Kuna siku nilienda town shule ya central kuchukua past papers wakati narudi, kufika line police nikadakwa na Kaishozi master wa Dom sec.
Akanibeba kwenye defender lake STJ 1617 enzi hizo ndo yanaingia, kufika shule tukavuka ng'ambo tukamkuta Msasa anaikagua XL yake.

Nilikula stiki za kutosha, nikanyang'anywa meal card afu ndo ilikuwa ina wiki tangu nipewe kwa hiyo bado siku 25 upewe ingine. Kula yangu ikawa kwa washkaji.
 
ahahah Wazee wa MAGUDULIA mpoo? Salimia sana Mugalula ....Zengo Complex 2001
 
Duuuh
nakumbuka kucheki "isidingo ze need" Kikuyu
Kumwagilia bustani
Kulindaa
Makofi ya mshumbusi
Naikumbuka Azimio room 3 up
Nakumbuka kudabo nyuka
Nakumbuka kufuta taree ktk meal card
namkumbuka mama Chakoo na bili yangu ya banzi aka mitaa
nakumbuka jamaa aliogelea wota rizivaa

wapi Mtangoo
wapi Mwigulu Mchemba
Wapi Salim Sekiete
wapi Abdul Mahobe
wapi Matungwa William
Wapi Nalogwa
wapi Somangiza
wapi Ibrahim Siraji
wapi Erasto Mbeya
wapi Mnaijeria
wapi Okonko
wapi Asifiwe Edward
Wapi Isaac Magobo
wapi Magong'o Mayala
wapi Chisaluni
wapi Msigala aka siga boy
wapi Haji Nura aka Nura babastazz
wapi braza Komba
wapi Masasila
wapi Ustazz Swalehe
wapi Gange
wapi Samwel Ntakamulenga
wapi Theodory
wapi Ramadhan
wapi Kyaruzi
Wapi Magadula aka Mg
wapi Ndebile Begesheni
wapi Mohamed Kisamfu
wapi dogo Makete
wapi Vyansekale Vizakumwe
wapi Mkama Magambo
wapi Edwin Kihumbe
wapi Tibiyi Washa
wapi Jovin aka waunga
wapi Mwita Marwa
wapi Misalaba
wapi Amour Abdallah aka Mullah
wapi Adam
wap Kwapakacha aka Kwapa K
wapi Justine
Wapi John Nzumbi
Duuuuuh
wana wote wa Azimio kwa baba Ishe,wana wote wa Mwongozo ,Mwenge,Muungano na Ujamaa aka wu-jamaa bila kusahau wana wa ku stay beach heshima kwenyu

M-nigeria mjinga sana, anacheza mpira huku kavaa gloves mikononi wakati jua linawaka balaa.
Chanzo cha kuitwa m-nigeria ni kuwa jamaa alikuwa black balaa
 
Mnakumbuka ile bustani ua Chinese pale karibu na geti la kuingilia adminstration??
 
Mnamkumbuka Mwalim kameme??? Fundi wa kila kitu..... dah
 
Mimi namkumbuka mama Kabota na chapati zake na Mzee Kameme ngosha na nguruwe zake. ..Endeleza...

hukuwahi kumwibia yule mama chapati zake....alikuwa mrembo na aibu kibao usoni. hata ukimwibia chapati hapigi kelele
 
Back
Top Bottom