Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,256 16,306 May 30, 2016 #2 mshana jr said: Click to expand... WA MTAANI KWETU USWAZI
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,265 17,115 May 30, 2016 #3 Naona walinzi wamekaa upande muafaka kabisa
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,639 729,584 May 30, 2016 Thread starter #4 Mulhat Mpunga said: View attachment 352037 WA MTAANI KWETU USWAZI Click to expand...
donlucchese JF-Expert Member Mar 23, 2011 17,092 21,773 May 30, 2016 #5 mshana jr said: Click to expand... Hahaha
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 46,198 66,204 May 30, 2016 #6 Mulhat Mpunga said: View attachment 352037 WA MTAANI KWETU USWAZI Click to expand... Mkuu kuwa muwazi tu, ishu siyo suruali ya kijivu na viatu vya kijani wewe uko hapo pembeni kwenye tuta.
Mulhat Mpunga said: View attachment 352037 WA MTAANI KWETU USWAZI Click to expand... Mkuu kuwa muwazi tu, ishu siyo suruali ya kijivu na viatu vya kijani wewe uko hapo pembeni kwenye tuta.
MSAGA SUMU JF-Expert Member May 25, 2015 6,612 21,346 May 30, 2016 #8 Mkuu mshana hawa chura wa kihansi nasikia wanaweza kuficha sukari
D Descartes JF-Expert Member Jul 24, 2013 2,765 1,663 May 30, 2016 #9 Chura wa Kihansi huzalisha umeme, japo kwa mgao kama sukari kwa sasa...
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,403 12,764 May 30, 2016 #10 Hivi Vyura wa Kihansi nao hunesa nesa? Na ikiwa wananesa mneso wao unatoa sparks za kuzalisha umeme?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,639 729,584 May 30, 2016 Thread starter #11 MSAGA SUMU said: Mkuu mshana hawa chura wa kihansi nasikia wanaweza kuficha sukari Click to expand... Sukari kitu gani bwana! Hao wanaficha mpaka asali
MSAGA SUMU said: Mkuu mshana hawa chura wa kihansi nasikia wanaweza kuficha sukari Click to expand... Sukari kitu gani bwana! Hao wanaficha mpaka asali
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,639 729,584 May 30, 2016 Thread starter #12 Horseshoe Arch said: Hivi Vyura wa Kihansi nao hunesa nesa? Na ikiwa wananesa mneso wao unatoa sparks za kuzalisha umeme? Click to expand...
Horseshoe Arch said: Hivi Vyura wa Kihansi nao hunesa nesa? Na ikiwa wananesa mneso wao unatoa sparks za kuzalisha umeme? Click to expand...
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,256 16,306 May 30, 2016 #13 DOUGLAS SALLU said: Mkuu kuwa muwazi tu, ishu siyo suruali ya kijivu na viatu vya kijani wewe uko hapo pembeni kwenye tuta. Click to expand...
DOUGLAS SALLU said: Mkuu kuwa muwazi tu, ishu siyo suruali ya kijivu na viatu vya kijani wewe uko hapo pembeni kwenye tuta. Click to expand...
Bailly5 JF-Expert Member Mar 11, 2015 16,402 35,083 May 30, 2016 #14 Mulhat Mpunga said: View attachment 352037 WA MTAANI KWETU USWAZI Click to expand... Churaaa
uporo wa wali ndondo JF-Expert Member Dec 3, 2013 3,455 2,239 May 30, 2016 #15 Nasikia sikuhizi ukimuitwa mwanamke wa aina hiyo chura unashitakiwa wakati sie wanaume tumeitwa mabuzi for more than twenty years hatujalalama.
Nasikia sikuhizi ukimuitwa mwanamke wa aina hiyo chura unashitakiwa wakati sie wanaume tumeitwa mabuzi for more than twenty years hatujalalama.
Kaparo JF-Expert Member Sep 7, 2013 2,059 5,024 May 30, 2016 #16 Vyura wametokea baada ya Anaconda kupotea kule Amazon
MSAGA SUMU JF-Expert Member May 25, 2015 6,612 21,346 May 30, 2016 #17 mshana jr said: Sukari kitu gani bwana! Hao wanaficha mpaka asali Click to expand... hahh hahhah,hawa vyura ni hatari hatari
mshana jr said: Sukari kitu gani bwana! Hao wanaficha mpaka asali Click to expand... hahh hahhah,hawa vyura ni hatari hatari
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,639 729,584 May 30, 2016 Thread starter #18 uporo wa wali ndondo said: Nasikia sikuhizi ukimuitwa mwanamke wa aina hiyo chura unashitakiwa wakati sie wanaume tumeitwa mabuzi for more than twenty years hatujalalama. Click to expand... Akili ndogo inapopewa madaraka makubwa matokeo yake ndio hayo
uporo wa wali ndondo said: Nasikia sikuhizi ukimuitwa mwanamke wa aina hiyo chura unashitakiwa wakati sie wanaume tumeitwa mabuzi for more than twenty years hatujalalama. Click to expand... Akili ndogo inapopewa madaraka makubwa matokeo yake ndio hayo
nsanzu JF-Expert Member Jul 29, 2015 4,636 5,335 May 30, 2016 #19 Huyu kachuchumaa, kakaa au nin hiko mlioelewa, doooh?