Wa Karagwe na Kyerwa tukutane hapa

Nipo hapa Papaa Mudhamiri Katunzi nikiwa na Papaa Jack Pemba,tunasema ngoja tumalize kuweka heshima Mjini mambo ya kijijini hayatuhusu.
 
Mkuu humu Jf wa Kyerwa bado hawajajua kujiunga. Kwanza waliofika mjini kagera tu tokakyerwa bado ni wachache. Wewe utakua ulitangulia dar kitambo. Vipi umeulizia kama barabara ishatengenezwa? Vipi mna jengo la halmashauri sasa pale kyerwa?
 
nyoka kapigwa rungu kichwani!
 
Wakuu kyerwa pako vizuri halmashauri ishafika ..fursa zimejaa .
 
Mkuu humu Jf wa Kyerwa bado hawajajua kujiunga. Kwanza waliofika mjini kagera tu tokakyerwa bado ni wachache. Wewe utakua ulitangulia dar kitambo. Vipi umeulizia kama barabara ishatengenezwa? Vipi mna jengo la halmashauri sasa pale kyerwa?
Sawa mkuu , jengo la halmashaur bado halijakmilika .
 
Back
Top Bottom