Wa dada jamani Hivi vitu vinatokea network ina simama!!

hahahahahahahahahahahha sina mbavu eti material yote niliyosoma ime evaporate....
sante sana Kaka K.....
 
KK

Vijana wetu wengi sana wanateseka na mabinti dizaini hiyo.... na wengi wao huishia kunawa tu, kula hawali hadi shule inaisha

Ikisikia opportunist ndio huyo dada...

Tafakari, chukua hatua...........
 
hahahahaha sasa hii ni library ya UDSM, SUA, Tumaini, SAUT au Mzumbe hahahahaha au IFM na CBE? Loh elimu ya bongo vikwazo kila kona
 
Jamaa wa pembeni anasomea Mechanical Engineering, duuu!kweli nyanga ngumu!msalimu Dr. Elias na Mgwatu...tehe teh
 
Back
Top Bottom