Ushawahi kujiuliza kwa nini Addiction inakuwa ina nguvu kwenye vitu negative.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
Ni kawaida kukutana na mtu akakwambia kuwa hawezi kulala bila ya kunywa pombe mwingine hawezi kulala bila ya kuvuta sigara ila ni nadra sana kukutana na mtu atakayekwambia kuwa hawezi kulala bila ya kufanya mazoezi au kulala bila ya kusoma vitabu.

Why Addiction ina nguvu sana kwenye vitu negative. Wanasema tabia ujengwa kwa kufanya kitu mfululizo kwa siku 21 guess what unaweza kujitahidi kujenga mazoe ya kujisomea kwa siku zote 21 but ukakosa consistency ya kuendelea kujisomea ila siku moja ya masturbation inageuka kuwa habit yako kwa maisha so complicated.

Pengine waliotangulia wametutafsiria hivi vitu vice versa pengine vitu tunavyoamini ni negative kwa sasa kama ulevi, uzinzi and alike ndio vitu positive ambavyo tunapaswa kuvifanya that's why kuvishinda inakuwa ngumu kiasi.

Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
 
Unapovutia negative energy karibu na maisha yako basi positive energy inajitenga inakaa mbali na wewe.. na ndio inakua tabia yako na kuitoa hiyo negative energy inahitajika nguvu ya ziada..

Hakuna kitu kinavutia negative energy kama tendo la ndoa.. wachache sana wanaelewa..
Unapofanya mapenzi na wanawake/wanaume wengi tofauti tofauti.. kila mmoja anakuachia energy yake, wapo wenye shuhuda kwa hili sema tu tunajifanya vichwa ngumu
 
Kabisa ♥️
 
Vitu negative mara nyingi ndivyo vinavyompa mtu raha na furaha, wakati vitu positive mara nyingi vinahitaji kutumia nguvu na akili nyingi, ilihali binadamu wengi hupenda kuwa kwenye comfort zone
 
Inategemea wewe mwenyewe Nguvu zako umezielekeza Wapi Personally Mimi nachojua lazima uwekeze Nguvu katika Jambo unalolipenda Addiction ni matokeo ya kiiweka Nguvu yako huko

Ukiwa bookworm msoma VITABU Kuna wakati unapenda sana Kusoma vitabu Sana
 
Maisha ni chaguzi kile ulichokiweka mawazoni ndicho Huwa sehem ya Maisha yako.
Mfano ukiwa Malaya hakuna mwanamke atakukataa,ukiwa mlevi huwezi kosa kulewa hata kama huna pesa
 
Back
Top Bottom