Hivi ni kweli Agenda Behind catoon ni kuhamasisha ushoga?

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Wanagu ni wapenzi wakubwa sana wa channel za Katuni kama vile FIXFOXY, BABY TV, CBEEBIES, CARTOON NETWORK, TOONAMS, NICKELODEON, ,

Hadi na mimi nimejikuta kuwa mpenzi wa hivi vicatoon,
Sasa kuna vijitabia naviona katika sellection za rangi zao za vicatoon huwa vinanitia shaka, yaani hata rangi za matangazo yao huwa wanapendelea kuweka ELBOW/ RAINBOW COLOUR katika matangazo yao,
Ambacho nashindwa kuelewa ni kwamba wanafanya maksudi kufanya hivyo ili kutangaza LGBTQ FLAG au wanafanya kama rangi za mvuto kwa ajili ya watoto,

Na kama swala ni la kutafta rangi za mvuto kwa ajili ya watoto kwanini wasitafte njia mbadala wa kuchanganya rangi ili zisifanane na LGBTQ.

Mungu alinde vizazi vyetu ninawasiwasi pengine hivi vitu vina direct magical sprit ambazo zinawaingia watoto wetu na kuharibu vizazi hila kujua.

20240319_092139.jpg
20240319_092127.jpg
20240319_092109.jpg
 
View attachment 2938742View attachment 2938743View attachment 2938744
Rangi inawezeje kuhamasisha ushoga
 
Watoto wanaaminishwa kuwa rangi pendwa ni upinde, ili wakue wakiipenda na kuihusudu bendera pendwa.
 
Wanagu ni wapenzi wakubwa sana wa channel za Katuni kama vile FIXFOXY, BABY TV, CBEEBIES, CARTOON NETWORK, TOONAMS, NICKELODEON, ,

Hadi na mimi nimejikuta kuwa mpenzi wa hivi vicatoon,
Sasa kuna vijitabia naviona katika sellection za rangi zao za vicatoon huwa vinanitia shaka, yaani hata rangi za matangazo yao huwa wanapendelea kuweka ELBOW/ RAINBOW COLOUR katika matangazo yao,
Ambacho nashindwa kuelewa ni kwamba wanafanya maksudi kufanya hivyo ili kutangaza LGBTQ FLAG au wanafanya kama rangi za mvuto kwa ajili ya watoto,

Na kama swala ni la kutafta rangi za mvuto kwa ajili ya watoto kwanini wasitafte njia mbadala wa kuchanganya rangi ili zisifanane na LGBTQ.

Mungu alinde vizazi vyetu ninawasiwasi pengine hivi vitu vina direct magical sprit ambazo zinawaingia watoto wetu na kuharibu vizazi hila kujua.

View attachment 2938742View attachment 2938743View attachment 2938744
Wewe ndio unahamasisha ushoga, acha kusingizia katuni.

Mtu mwenye akili timamu umekosa cha kufanya unakaa kuwaza ushoga, hadi kuuanzishia uzi.

Unfathomable incredulous foolishness stupidity!
 
Rangi zinazoonekana sana - nyekundu, njano, purple, kijani, blue, n.k. - zina-stimulate ubongo wa mtoto.

Hizo rangi zote zipo kwenye upinde wa mvua. Ndiyo maana hata kwenye shule za watoto wadogo huwekwa ili kusaidia ukuaji mzuri wa ubongo na akili kwa ujumla. Hiyo siyo shida.

Cartoon zinakuja kuharibu pale zinapokuwa na stori za ushoga kama familia ya mwanaume na mwanaume, hapo ndiyo kuna tatizo.

Umakini uwe kwenye content.
 
Miaka kumi iliyopita or so mtu uliweza tinga Uzi wenye rangi Saba na ukatamba mtaani.Bt now nooo ukipiga rainbow colour lazima uangaliwe mara mbili mbili.Why...why mashoga wanatuharibia rangi kmmk !!?
 
Wanagu ni wapenzi wakubwa sana wa channel za Katuni kama vile FIXFOXY, BABY TV, CBEEBIES, CARTOON NETWORK, TOONAMS, NICKELODEON, ,

Hadi na mimi nimejikuta kuwa mpenzi wa hivi vicatoon,
Sasa kuna vijitabia naviona katika sellection za rangi zao za vicatoon huwa vinanitia shaka, yaani hata rangi za matangazo yao huwa wanapendelea kuweka ELBOW/ RAINBOW COLOUR katika matangazo yao,
Ambacho nashindwa kuelewa ni kwamba wanafanya maksudi kufanya hivyo ili kutangaza LGBTQ FLAG au wanafanya kama rangi za mvuto kwa ajili ya watoto,

Na kama swala ni la kutafta rangi za mvuto kwa ajili ya watoto kwanini wasitafte njia mbadala wa kuchanganya rangi ili zisifanane na LGBTQ.

Mungu alinde vizazi vyetu ninawasiwasi pengine hivi vitu vina direct magical sprit ambazo zinawaingia watoto wetu na kuharibu vizazi hila kujua.

View attachment 2938742View attachment 2938743View attachment 2938744
kaka,hao wanatangaza ushoga!!!"ata ule mchele ulioletwa inawezekana una virutubisho vya kufanya matako, yetu yakawa yanalegea bila sababu!!!!!,mimi kuanzia mwezi ujao sintokula mchele {mimi na familia yangu mpka mwezi wa 7,],,manake ni balaa!!
 
Kuna cartoon flani za DCcomic sijui Justice League niliona kipande mama anamuuliza mwanawe "kwanini huna furaha kitu gani kina kutatiza au ni shoga? Nieleze ukweli usihofu.
Kama shoga ni kawaida tu usijisikie vibaya".
Tangu siku hiyo nimeogopa sana hizi cartoons. Unfortunately hapo home kuna kidos wanapenda cartoon vibaya mno.
 
Kuna cartoon flani za DCcomic sijui Justice League niliona kipande mama namuuliza mwanawe "kwanini huna furaha kitu gani kina kutatiza au ni shoga? Nieleze ukweli usihofu.
Kama shoga ni kawaida tu usijisikie vibaya".
Tangu siku hiyo nimeogopa sana hizi cartoons. Unfortunately hapo home Kuna kidos wanapenda cartoon vibaya mno.
kdadadadeq!!!!! mimi ningeivunja hiyo TV
 
Wanaotengeneza hizo katuni wana special mission.Hata movie nyingine nahisi zinakuwaga na vitu visivyo vya kawaida vinavyokuingia wewe mtazamaji.Juzi tu nilitazama picha picha ya warchief kuna lidubwana limoja linatisha lina namna fulani ya uongeaji usiku nikiwa nimelala nikawa kama naisikia sauti ya lile lidubwana.Pia niliangalia movie ya the last voyage of the demeter ambayo meli/jahazi mwaka 1800 na kitu ilipakia maboksi 15 kutoka Romania maboksi yalikuwa yanapelekwa London kumbe kati ya maboksi yaliyopakizwa moja lina Dracula mnywa damu.Usiku sasa nilipolala nahisi kabisa kama yule dracula yumo chumbani
Warchief-7.jpg

thelastvoyageofthedemeterexclusiveclip-ign-blogroll-1690998205702.jpg
 
Wanaotengeneza hizo katuni wana special mission.Hata movie nyingine nahisi zinakuwaga na vitu visivyo vya kawaida vinavyokuingia wewe mtazamaji.Juzi tu nilitazama picha picha ya warchief kuna lidubwana limoja linatisha lina namna fulani ya uongeaji usiku nikiwa nimelala nikawa kama naisikia sauti ya lile lidubwana.Pia niliangalia movie ya the last voyage of the demeter ambayo meli/jahazi mwaka 1800 na kitu ilipakia maboksi 15 kutoka Romania maboksi yalikuwa yanapelekwa London kumbe kati ya maboksi yaliyopakizwa moja lina Dracula mnywa damu.Usiku sasa nilipolala nahisi kabisa kama yule dracula yumo chumbani
da!! noma sana
 
Back
Top Bottom