mimi nilionana na hawa.......
View attachment 78465 View attachment 78466
nikapumzika hapa..........
View attachment 78467
wewe ulifanyaje.....?....weka picha.........
Preta hii ni lake manyara ? i love wildlife safari....
ooh yeah......unajua kusoma picha sana wewe........
sawa kabisa.....hi hi hi hi.......
Hivi kitulo national iko wa pi??Hahaha..nimefurahi nimepatia...ni hiviii..mimi mapuomziko yangu mengi huwa yanaishiaga kwenye mbuga za wanyama.
Nimezunguka park zote Tanzania.....naamini nina colection za wildlife picture kuliko Mtanzania yeyote. :becky:
nadhani anamaanisha hao sharubu......
Hivi kitulo national iko wa pi??
Tonykp....umeniona mjinga kiasi hicho kaka...I thought mshkaji ameona hiyo swimming pool akajua ni lake Manyara
Nilikuwa chooni...
Itakuwa ume Google! !!Kitulo iko Mbeya....ni kama shamba la maua...ni pazuri ajabu..kuna sehemu karibu na iringa inaitwa Kisolanza karibu ifanane kama Kitulo ila tu yenyewe iko tambarare.
Itakuwa ume Google! !!
Jama kuna mtu ambae Hana wivu duniani? ??Kumbe unajua kuna Google mbona uliuliza sasa....unawivu wewe...yote hayo kisa Preta kanisifia najua kusoma picture...