W/end yako ilikuwaje.......?

W/end yako ilikuwaje.......?

Hiyo swimming pool ina ni kumbusha counter ya nje pale LMS unaifahamu??

kabisa....nisiijue tena....halafu unatakiwa ujaze fomu za bata system....unaonekana unafaa sana....
 
We ilete tu hiyo form kuna wanachama wangapi so far? ?ukirudi nitakupeleka club 63 unaijua? ??
 
hapo pameshakuwa sebuleni......sasa hivi tunavuta kiupepo baridi kutoka kwenye kilima cha Sundowner Carnival.......karibu sana.....
 
Preta shost nilikwenda kwenye harusi kwa lazima jana niliporudi hubby akagoma nifungulia nililala getini nje hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Preta shost nilikwenda kwenye harusi kwa lazima jana niliporudi hubby akagoma nifungulia nililala getini nje hahahahaha

ha ha ha....pole....weka picha........
 
mimi nilipumzika kwenye kibanda kile pale karibu na stand wanapouza mbege.
 
hapo pameshakuwa sebuleni......sasa hivi tunavuta kiupepo baridi kutoka kwenye kilima cha Sundowner Carnival.......karibu sana.....
Aisee ilikuwa wapi hiyo carnival? ??
 
Back
Top Bottom