Hivi serikali yetu inampango gani na afya zetu? Maana vyuo vya udaktari sasa ni vingi kama utitiri, ni kwamba tunapenda quantity au quality? Mbona udaktari umrahisishwa hivi? Yani saivi mtu akiniambia ni daktari lazma nimuulize kasoma wapi na lini ili nim-value angalau maana mambumbu kibao wanasoma udaktari, kwasababu tu unaupenda haimaanishi unafaa, nawakilisha