Vyuo vya udaktari

bugzbunny

JF-Expert Member
Mar 9, 2013
838
746
Hivi serikali yetu inampango gani na afya zetu? Maana vyuo vya udaktari sasa ni vingi kama utitiri, ni kwamba tunapenda quantity au quality? Mbona udaktari umrahisishwa hivi? Yani saivi mtu akiniambia ni daktari lazma nimuulize kasoma wapi na lini ili nim-value angalau maana mambumbu kibao wanasoma udaktari, kwasababu tu unaupenda haimaanishi unafaa, nawakilisha
 
Vingi kama Utitiri, Vingapi?

Vya serikali viwili tu. UDOM na MUHAS.

Vingine vya Private, navyo havifiki vitano kama sijakosea. IMTU, Bugando, Hubert Kairuki, KCMC, Kile cha Ifakara (Bugando Branch), na vingapi vingine?
 
Huyu jamaa anawachukia madk...angalia thread yake ya mwsho kupost jf...si bure kamegewa demu wake huyu
 
wakati wenzako wanalamamika ma Dr hawatoshi wewe unasema wengi daahh unamatatizo ww!!
 
Wengi ni stupid kuliko . Dr mmoja pale Mikocheni hospital alimwandikia mtoto dozi ya MTU mzima.
 
Hivi serikali yetu inampango gani na afya zetu? Maana vyuo vya udaktari sasa ni vingi kama utitiri, ni kwamba tunapenda quantity au quality? Mbona udaktari umrahisishwa hivi? Yani saivi mtu akiniambia ni daktari lazma nimuulize kasoma wapi na lini ili nim-value angalau maana mambumbu kibao wanasoma udaktari, kwasababu tu unaupenda haimaanishi unafaa, nawakilisha

ukweli mtupu
 
Uwingi wa vyuo sio lazima liwe tatizo - yaweza kuwa neema. Kama kuna shida uzijuao kuhusu ubora wa mafunzo useme wazi.
 
Naendelea kusoma na medico-legal stuff sasa ajichanganye mtu..muulize yule wa michael jackson akwambie yaliyomkuta
 
Vingi kama Utitiri, Vingapi?

Vya serikali viwili tu. UDOM na MUHAS.

Vingine vya Private, navyo havifiki vitano kama sijakosea. IMTU, Bugando, Hubert Kairuki, KCMC, Kile cha Ifakara (Bugando Branch), na vingapi vingine?

Udom hivi kuna walimu? Imtu? Hkmu? Idadi ikoje? Kcmc? Alafu ukiangalia vizuri utagundua ni wale makapi yenye division 3 yamejaa huko, ole wao ole wao, naendelea kugusagusa medical legal stuff mtanikoma kama dr conrad murray
Kwanza wanafanya hiyo fani tunaichkulia poa sana skuizi
 
Back
Top Bottom