boya kama ww huwezi kusoma ardhi hujui hatakuandk
Kuweni wapole,Kadiri vyuo vitakavyoendelea kutoa majina tutawafikishia.Msihofu.
Mkuu vuta subira ndio tupo hapa na vijana wetu wa IT tunamalizia kuondoa multiples selection so nadhan kufikia J3 mambo yote yatakuwa tayari.