jamani kwa aliyepata udom anchekie S3272/0071/2011 samiu s. msoke
UDOM bado mkuu.
jamani kwa aliyepata udom anchekie S3272/0071/2011 samiu s. msoke
weka jina
weka jina
Hii imekuja baada ya tcu kuanza kutuma majina ya fresher kwenye website za vyuo husika,mpaka sasa,saut,udsm,makumira na st.francis mambo yapo hadharani,kwako unaetaka kujiangalia kupitia website ya tcu utakesha na pengine hutaambulia chochote kwa website yao iko busy,ushauri ni bora ukapititia kwenye website ya chuo husika,au jamii forum kuangalia kama waungana wametupia attachment
nisaidie s.0397.0054.2011
Copy and paste
Copy and paste
bado mkuu!!!Jamani mzumbe vipi
Copy and paste
jaman aridhi bado?